Great of african

Great of african Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Great of african, Design & Fashion, Rumonge, Rumonge.

25/07/2022
24/08/2021

Adouli NAzario

24/08/2021

AFter jop abdoul kharim

18/08/2021

Kuna wakati kuish kwakujip amani nivyema minaiman insha allah mungu yupo hakika hakikuwezekan leo kesho naiman insha allah penda unacho ona nicha maan kwako simaanish mpnz bali ni kazi kazi

Kunawakati nilipambama ili kufikia kweny malengo moyo ulivumilia mengi ilikufkia kweny malengo nyakati zamwisho ili n cr...
26/07/2021

Kunawakati nilipambama ili kufikia kweny malengo moyo ulivumilia mengi ilikufkia kweny malengo nyakati zamwisho ili n croco fc
Haikuw mwisho wasafari yangu wenye kwenda waliend mimi bahati kwangu ilikuw ninguma ila haikuw mwisho wakukataa tamaa

21/07/2021

Great of african
The story of
Nazario kazi kazi

Ugumu wazowezi na changamoto za umbali zilinifanya nikate tamaa ila alhamdulillah warafiki wa nne walinipa moyo nakuzidi...
16/07/2021

Ugumu wazowezi na changamoto za umbali zilinifanya nikate tamaa ila alhamdulillah warafiki wa nne walinipa moyo nakuzidi kupambana ila wenye walikuw wanakula vibaya ila bilikuwa vinapatikana ilakwangu ilikuw ningum kilasik walikuw wakinip moyo rafiki wenyewe (ally samatta (galoni budengeri(marehumu djuma akulaze mahali pena peponi)hakika nawashkuru sana wakubwa zangu hakika ilikuwa kula ngagara mramadhani kulala buyenzi mchoko ulikuw mkubwa ila njia yamafaanikio ni uvumilivu hakika ukiitaj kuyapata yangine kupitia great of african ijuma inayo kuja ndo muendelezo watote usisahau ku like naku comment

Allah ndomuweza wakila siku hatuwa yapili ilikuw nibuja hakika nilipitia wakati mgumu kwakuishi buja kweli nilikuw nafam...
16/07/2021

Allah ndomuweza wakila siku hatuwa yapili ilikuw nibuja hakika nilipitia wakati mgumu kwakuishi buja kweli nilikuw nafamilia kulala ili kuwa n uhakika kula ilikuwa niheka heka ilinilivumilia mengi uvivu umabli wapeny nafanyia zowezi hakika allah alisaidia nilikaa kiasi cha myezi2 hakika kilanjia ya kuisaka pesa inamitihani na misukosuko

Story ya m'y team of New Generation ⚽Hakika maisha yampira kwenye nchi yetu nimagumu Sana nilianza Ivo mnavyo ona bingi ...
10/07/2021

Story ya m'y team of New Generation
⚽Hakika maisha yampira kwenye nchi yetu nimagumu Sana nilianza Ivo mnavyo ona bingi ilikuwa nikujiuzia Yani ni objectif yakufikia kukitu nakwenye malengo muda mwingine kukaa kimy ninjia yakuwekeza vingi manyanyaso furah vyo vikijumlisha unaamuwa kuvumilia ili tufike kwenye malengo wengi wanaheba kwaajil yakukata tamaa maisha tubayo pitia nimagumu yanatufanya tuache tunabyo bipenda⚽

Address

Rumonge
Rumonge

Telephone

+25768988498

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Great of african posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share