Nguvu ya nyumbani

Nguvu ya nyumbani Haki👍 na Kweli kwanza☝️. devise tuache roho mbaya💘💘💘 tuendereze bya kwetu mbele 👉👉Love❤ for Love ❤

🔴MPIRA SIYO BOXE JAMENI ila  siyo Job ya wazembe. Hapo Wakati Team ya Sebele ilipokea Kichapo Kutoka kwa Team Moja ya KI...
23/05/2026

🔴MPIRA SIYO BOXE JAMENI ila siyo Job ya wazembe. Hapo Wakati Team ya Sebele ilipokea Kichapo Kutoka kwa Team Moja ya KIKONDE 2___1 mnamo champion Local sasa CLUB ya pili Ya Kikonde Ikaitaji nayo Ifunge , Ndipo Sebele ikasema Chauku Akitaenda Kule😃😃
Football ⚽️ de Sebele

🔴Kuna wakati Wasemaka Wakongomani🇨🇩 wengi wamejaa na Akili ya Vita Vita ila wakiambiwa wahingiye Mu Jeshi awataonekana w...
22/05/2026

🔴Kuna wakati Wasemaka Wakongomani🇨🇩 wengi wamejaa na Akili ya Vita Vita ila wakiambiwa wahingiye Mu Jeshi awataonekana wengi❗️. Mashabiki wa naingiya mu stade 🏟 Kumpiga Refa kweli match ya Jana Ya League 1

🔴 Didier Shabani Zokora Mkongoni Wa Uvira Mchezaji wa  VITAL'O FC ya Burundiambaye nilikwambia ni Attaquant mkali kwa po...
21/05/2026

🔴 Didier Shabani Zokora Mkongoni Wa Uvira Mchezaji wa VITAL'O FC ya Burundi
ambaye nilikwambia ni Attaquant mkali kwa poste yake Ana éliminé ma Beki wakubwa wakubwa na Pia ni mshindi wa Ma Bao katika Team yake. courage vraiment.
Football ⚽️ de Burundi Bujumbura🇧🇮

🔴Uyu Beki central wa TOUR du CONGO busoshi Ramazani Jacques RJ ni muda murefu Ahonekani kwenye kikosi ya Tour du Congo n...
21/05/2026

🔴Uyu Beki central wa TOUR du CONGO busoshi Ramazani Jacques RJ ni muda murefu Ahonekani kwenye kikosi ya Tour du Congo na hâta kwenye Kikosi ya Sélection ya Sebele Ahijulikani Aliko kwenda kwasababu Atumuoni vraiment.
TC BISOSHI munaweza kutujuza aliko ili tupate kuwasiliana naye Mawili matatu

Football ⚽️ Sebele

🔴Sijuwi naweza mulinganisha na nani Zaidi Attaquant iyo kwa feinte za Déplacements de jambes 🦵 🦵 K**a CR7 wa zamani?!! ,...
21/05/2026

🔴Sijuwi naweza mulinganisha na nani Zaidi Attaquant iyo kwa feinte za Déplacements de jambes 🦵 🦵 K**a CR7 wa zamani?!! , K**a Yamal?!! K**a Vini Jr sijuwi hâta. Anaitwa Technicien Didier Shabani Zokora mchezaji mkubwa sana japo katika uwanja huu tunamuona.

Baraka walionaka Tunzo zote zinaweza kuja sebele hadi wakaamuwa Kuiba Iyi moja(1) ya Gardien JACQUES SON wa TOUR du CONG...
17/05/2026

Baraka walionaka Tunzo zote zinaweza kuja sebele hadi wakaamuwa Kuiba Iyi moja(1) ya Gardien JACQUES SON wa TOUR du CONGO BISOSHI
Gardien aliye fanya poa zaidi pa baraka kwenye ligue ya territoire (SUPER COUPE) siku zilizo pita Ku encaisser peu des buts (3) tena naku shiriki FINALE mais aliye pewa tunzo ya bu ni aliye hangushwa mu Na Ku encaisser 6 buts 🤣

21/04/2026
petit à petit...haki na Kweli kwanza Nguvu ya nyumbani devise tuache Roho mbaya
03/04/2026

petit à petit...
haki na Kweli kwanza
Nguvu ya nyumbani
devise tuache Roho mbaya

Adresse

Sebele
Baraka

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Nguvu ya nyumbani publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Raccourcis

Partager