Pema

Pema Mafunzo ya muziki kwa Masafa(online) Jifunze na kujiendeleza muziki wa nota.kujadili na kupata majibu mafupi kwa hoja za muziki

Imetupasa kumshukuru Mungu Kila wakati maana ndiye uzima na afya ya watu.
07/06/2023

Imetupasa kumshukuru Mungu Kila wakati maana ndiye uzima na afya ya watu.

10/03/2023
01/11/2021
01/11/2021

Nawapenda sana washirika wote wa PEMA Musical page

20/08/2021

Ni nani aliye mwema na mwaminifu mbele za Mungu?

10/03/2020

Marketing and sales manager
2 positions/vacancies
2.Assistant marketing officer, 2 positions

29/12/2019

Musical notes

Musical notes

22/12/2019

Kisa cha baba ambae alikuwa akitembelea mashambani na mwanawe. Katika kutembea kwao wakakuta kiatu kimoja chakavu ambacho anaonekana mwenyewe ni masikini sana.

Mwana akamwambia Baba yake, unaonaje k**a tutamfanyia mzaha huyu mwenye kiatu, tukifiche hiki kiatu kisha sisi wenyewe tujifiche halafu tuangalie mwenyewe akirudi atafanyaje ili tumcheke?

Yule Baba akamjibu "Hatutakiwi kujifurahisha kwa kuwaudhi wengine" lakini wewe kijana wangu ni tajiri unaweza kufanya kitu kikakufurahisha wewe mwenyewe na kikamfurahisha huyu bwana mwenye kiatu pia."

Kijana akamuuliza baba yake kivipi!?
Baba akamwambia;Badala ya kukificha kile kiatu, unaweza kukiacha palepale na ukaingiza pesa ndani yake.Kisha tujifiche ili uone athari yake.

Mwana akafurahishwa na rai ya Baba yake na akafanya k**a alivyoelekezwa, kisha wakajificha nyuma ya miti.

Sio muda mrefu akarudi yule masikini ili achukue kiatu chake. Tahamaki anakuta pesa ndani ya kiatu kile na pesa k**a ile katika kiatu kingine.

Akaziingiza pesa mfukoni na akapiga magoti kusujudu hali yakuwa ni mwenye kulia, kisha akamwambia Mungu kwa sauti ya juu : "Ninakushukuru Ewe Mungu wangu, Ewe ambae umejua kwamba mke wangu ni mgonjwa na wanangu wana njaa hawana mkate, ukaniokoa mimi na watoto wangu."

Kijana wa tajiri aliathirika sana kwa kuona huruma zaidi na macho yake nayo yakajaa machozi ya furaha kuona amemsaidia mtu mwenye uhitaji.

Hapo ndipo yule Baba akamwambia nwanawe "huoni kwamba sasa una furaha zaidi kuliko vile ulivyotaka kufanya mwanzo"?
Mwana akajibu nimejifunza Na sitoisahau muda nitakao kuwa hai.

Hivi sasa nimejifunza kitu kwamba ukitoa utakuwa na furaha zaidi kuliko ukizuia au ukichukua.
Baba akasema k**a hivyo ndivyo basi unatakiwa ujue kwamba, kutoa ni SADAKA na kuna namna nyingi.

Kumsamehe mtu pamoja na uwezo wa kumuadhibu unao ni SADAKA .
Kumuombea dua ndugu yako bila yeye mwenyewe kujua ni SADAKA.
Kumpa ndugu yako udhuru na ukamuondolea dhana mbaya ni SADAKA .
Kumchungia heshima ndugu yako wakati hayupo ni SADAKA .
kushare ujumbe huu na ndugu zako pia ni SADAKA .

Na Padre Silvio Mnyifuna

Address

. MWANZA
Mwanza
BEN

Telephone

+255756617328

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pema posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share