20/07/2025
Sura yake ya vutia,
Moyo wake hutojutia,
Hajaumbwa kashushwa kwa kunyatia,
Hakika yu mzuri avutia,
Abadani asilani ntakupatia.
Ata Mimi sijui kwani nani anasifiwa uko
Nunua pochi tuisifie pochi karibu. Hakika anavutia Afro safari bag,afro tote, kila aina ya begi ntakupatia lete madolari.