NONI SHOES , Bariadi -Tanzania

NONI SHOES , Bariadi -Tanzania Serving customers is our passion

31/12/2018
31/12/2018

Happy new year from all of us
"Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka na kuanza mwaka mwingine, napenda kuwashukuru mmekuwa sehemu muhimu kwetu km NONI SHOES , Bariadi -Tanzania Ahsanteni sana , muwe na cku njema kuelekea mwaka mpya pia musisahau, kupita kucheck vitu vya ukweli kutoka Nonishoes, kw ajil kutokelezea vyema kabisa 2019,

Kwa kuzingatia kila hali ya mtanzania kwa sasa, NONI SHOES, inampatia fursa mtanzania wa hali yoyote kuwa na kiatu na ku...
28/06/2018

Kwa kuzingatia kila hali ya mtanzania kwa sasa, NONI SHOES, inampatia fursa mtanzania wa hali yoyote kuwa na kiatu na kujikinga na maradhi mbalimbali, (kw bei nafuu, Jumla & reja reja ), # usikose kiatu kw kusingizia hali duni y maisha #

Gumboot pia, zinapatikana kw bei nafuu; Jumla na reja reja
28/06/2018

Gumboot pia, zinapatikana kw bei nafuu; Jumla na reja reja

Raba kali kw wadada, sandals na ndala, zinapatikana, reja reja na kwa jumla, plz! weka order yako mapema, upendeze
28/06/2018

Raba kali kw wadada, sandals na ndala, zinapatikana, reja reja na kwa jumla, plz! weka order yako mapema, upendeze

Address

Bariadi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NONI SHOES , Bariadi -Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share