Jezi Mpya - Tips

Jezi Mpya - Tips Hapa tutakusaidia kujua mengi na yote yaliyofunikwa nyuma ya pazia kuhusu jezi origino na feki. Bei ya jezi origino na wapi pa kuzipata. Kuwa nasi, Kuwa mjanja!

Champi !!!
17/08/2022

Champi !!!

Tukio la ajabu katika historia --- Jinsi mbwa alivyoiokoa Man Utd!Manchester United ilianzishwa mwaka 1878 ikiwa inatamb...
17/08/2022

Tukio la ajabu katika historia --- Jinsi mbwa alivyoiokoa Man Utd!

Manchester United ilianzishwa mwaka 1878 ikiwa inatambulika kwa jina la Newton Heath LYR Footbal Club.

Mnamo mwaka 1909 klabu ilikaribia kusambaratika kutokana na matatizo ya kiuchumi. Captain wa timu katika kipindi hicho, Harry stafford, akaamua kumtembeza mbwa wake mitaani ili kuchangisha fedha kwaajili ya kuisaidia timu mpaka mbwa akapotea siku moja.

Baada ya kumtafuta na kukata tamaa, mwishowe Stafford akafanikiwa kumpata mbwa wake katika bar(pub). Baada ya kupata bia kadhaa, Stafford alimshawishi tajiri mmiliki wa bar hiyo kuwekeza katika timu, na hapo ndipo Newton Heath ilipookolewa, na ndipo ikaja kuwa Manchester United!

USIFE MOYO -- Nyakati hubadilika!

Big up sana kwa wewe shabiki wa kweli wa Man utd. kwa kuisapoti timu yako hasa katika wakati huu mgumu.
Endelea kusapoti timu yako kwa kuvaa jezi kali, mpya ya msimu huu kwa bei poa kutoka kwetu. Tupigie 0710984984

17/08/2022
Messi aeleza sababu za kupenda kunyanyua mikono juu akiwa anashangilia goli !!!"Bibi yangu alikuwa alimwambia kocha "kic...
16/08/2022

Messi aeleza sababu za kupenda kunyanyua mikono juu akiwa anashangilia goli !!!

"Bibi yangu alikuwa alimwambia kocha "kichukue" kocha akamjibu "ah siwezi kumchukua ni mwembamba sana"

bibi akaendelea kumsisitizia kocha "mchukue, ataisaidia timu yako"

Baada ya majadiliano mwishowe kocha akakubali kunipanga na nikashinda magoli mawili katika mechi hiyo"

Hiyo ndio sababu kila wakati Messi akishinda goli hushangilia kwa kuonyesha mikono juu akiashiria kumshukuru bibi yake.

Tupigie, tutumie sms kwa mahitaji ya jezi za psg za msimu huu 22/23 kwa bei nafuu mno! Bei ya rejareja sawa na ya jumla!
+255710984984

Kapendeza kidogo, ausio?
29/07/2022

Kapendeza kidogo, ausio?

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255710984984

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jezi Mpya - Tips posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share