17/08/2026
Shukrani ziwafikie wote wateja, followers na wanao support Seller of kangas from Mombasa, Oman & Zanzibar🙏🤗.
Karibu Seller of kangas from Mombasa, Oman & Zanzibar ambapo utapata kanga kutoka Mombasa, Oman na Zanzibar. Pia mashuka ya Kimasai usisite kuwasiliana nasi🤗. Tuna bidhaa zilizonakshiwa na kanga k**a vipepeo, notebooks, bookmarks, laptop bags n.k.
Bei zetu ni k**a ifuatavyo:
1. Kanga za Mombasa:reja reja ni 21,000 na jumla kuanzia kanga 3 ni 19,000. Pia kuna za reja reja 24,000 na bei ya jumla 22,000 kuanzia kanga 3.
-Kuna kanga za Mombasa zilizo kwenye sale/punguzo la bei kuna za 15,000, 17,000,19,000 na 22,000.
2. Kanga za Zanzibar kubwa :reja reja ni 21,000 na jumla kuanzia 3 ni 19,500.
-Kuna kanga size ya Kati: reja reja ni 17,000 na jumla kuanzia 3 ni 15,000.
-Kanga za Zanzibar ndogo: reja reja ni 13,000 na jumla kuanzia 3 ni 10,000.
3. Kanga za Oman: reja reja ni 25,000 na jumla kuanzia kanga 3 ni 23,000. Kuna iliyo kipande kimoja kikubwa na kuna yenye vipande viwili nayo ni kubwa. Zote ni cotton laini na hazina maneno.
4. Shuka la kimasai moja ni 17,000 na bei ya jumla 13,000 kuanzia mashuka matatu.
5. Vipepeo/hand fan 15,000
6.Bookmarks za kanga 7,000
7.Notebooks zilizofunikwa kwa kanga ndogo-12, 000 na kubwa 15,000.
8. Diaries za 2026 zilizo nakshiwa na kanga zipo kwenye bei ya punguzo ya Tsh. 13,000/=.
9.Pochi size ndogo tsh 5,000 na size kati 7,000
10. Laptop bags/covers Tsh. 30,000/=
Tafadhali chagua bidhaa upendazo na tutajipanga zikufikie/delivery au kutembelea dukani kwetu.
📍Tupo Savei – Kontena Jekundu, 6 Tupendane Street karibu na Mlimani City, Dar es Salaam.
🚚 Tunafanya delivery ndani na nje ya Dar es Salaam (Mteja analipia).
Wateja wa Mikoani mizigo italipiwa na usafiri pia ndio mzigo utatumwa.
⏰ Muda wa kazi: Jumatatu–Jumamosi | Saa 3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni
📞 Simu ya Dukani: 0620 131 972