nauza mabalo ya nguo za mtumba

nauza mabalo ya nguo za mtumba karibuni Sana tunauza mabalo za nguo za mtumba grade1

Mawasiliano 0657710078
Tunapatikana ilala dar

✅ JIUNGE NA WHATAPP GROUP LA WAUZAJI MABALO YA MITUMBA SAFI https://chat.whatsapp.com/Cn6LZ7IzlyF4xkGxGQsNyA?mode=gi_t✅T...
01/03/2026

✅ JIUNGE NA WHATAPP GROUP LA WAUZAJI MABALO YA MITUMBA SAFI https://chat.whatsapp.com/Cn6LZ7IzlyF4xkGxGQsNyA?mode=gi_t

✅TUNA MABALO YA NGUO AINA MBALIMBALI KUTOKA CHINA UINGELEZA DUBAI CANADA

✅ MAWASILIANO 0657710078
✅ TUNAPATIKANA ILALA BOMA DAR ES SALAAM MIKOANI TUNAFANYA DELIVERY

⬛ JIUNGE NA WHATAPP GROUP LA nauza mabalo ya nguo za mtumba https://chat.whatsapp.com/L4WOkHWfBJdLXUESzTbvTF?mode=gi_t⬛ ...
13/02/2026

⬛ JIUNGE NA WHATAPP GROUP LA nauza mabalo ya nguo za mtumba https://chat.whatsapp.com/L4WOkHWfBJdLXUESzTbvTF?mode=gi_t

⬛ SAMPO YA BALO LA NGUO ZA WATOTO MCHANGANYIKO PC 300 BEI 400000

⬛ MAWASILIANO 0657710078
⬛ TUNAPATIKANA ILALA DAR ES SALAAM MIKOANI TUNAFANYA DELIVERY

Karibuni sana vunjabeimtumbagrade1 wauzaji mabalo ya nguo za mtumba grade1 pichani SAMPO ya balo la NGUO za WATOTO MCHAN...
09/02/2026

Karibuni sana vunjabeimtumbagrade1 wauzaji mabalo ya nguo za mtumba grade1 pichani SAMPO ya balo la NGUO za WATOTO MCHANGANYIKO

Jiunge na na whatapp group https://chat.whatsapp.com/L4WOkHWfBJdLXUESzTbvTF

Mawasiliano 0657710078

Tunapatikana dar es salaam mikoani tunafanya delivery

KARIBUNI SANA Mitumba Bei Chee wauzaj wa mabalo ya mtumba grade 1 kwa benafuu sana tuna mabalo ya nguo aina mbalimbali v...
04/02/2026

KARIBUNI SANA Mitumba Bei Chee wauzaj wa mabalo ya mtumba grade 1 kwa benafuu sana tuna mabalo ya nguo aina mbalimbali viatu pazia shuka mabegi

jiunge na WhatsApp group https://chat.whatsapp.com/L4WOkHWfBJdLXUESzTbvTF?mode=gi_t

Mawasiliano 0657710078

Tunapatikana ilala boma dar es Salaam.mikoani huduma ya delivery ipo

Mashabiki wa simba kitu Cha kujifunza  kwa mashabiki wa yanga yanga walikaa miaka minne hakuna mdhamini wa maana Wala ko...
02/02/2026

Mashabiki wa simba kitu Cha kujifunza kwa mashabiki wa yanga yanga walikaa miaka minne hakuna mdhamini wa maana Wala kombe ila walivuka salama na kuheshimu viongozi wao

KWANINI WAMPIGE MANGUNGU Nina laani vikali sana kitendo cha kinyama, cha kiudhalilishaji na kisichokuwa cha kiungwana al...
02/02/2026

KWANINI WAMPIGE MANGUNGU
Nina laani vikali sana kitendo cha kinyama, cha kiudhalilishaji na kisichokuwa cha kiungwana alichofanyiwa Leo Mwenyekiti wetu MURTAZA ALLY MANGUNGU na baadhi ya mashabiki wenzetu wa Simba, naliomba jeshi la .tanzania
Kuchukua Hatua za kisheria kwa wale watu wote ambao walihusika na kitendo hicho maana picha za video zipo zinawaonyesha sura zao ili iwe fundisho kwa mashabiki oya oya wengine k**a hao kukomesha kabisha upumbvu huu.

Mangungu sio kiongozi pekee yake ndani ya Simba Sasa kwanini timu ikifanya vibaya alaumiwe yeye pekee yake?

Mangungu hasajili yeye wachezaji, aliyetoa pasi ya goli Leo kwa mshambuliaji wa Timu pinzani Kisha ESPERANCE wakapata bao la kwanza ambalo liliwapa NGUVU ni Kante Sasa iweje ashambuliwe Mwenyekiti wetu?

AKILI za kuambiwa Changanya na za kwako mfumo wa Simba tulionao haumpi mamlaka ya MOJA kwa MOJA Mwenyekiti wetu wa Simba Sasa kwanini lawama apewe yeye?

Wachezaji wote unaowaona wanaosajiliwa Simba yeye hausiki Sasa kwanini timu ikifungwa alaumiwe yeye?

Mangungu yeye sio ambaye anatoa mishahara na posho kwa wachezaji timu ikifungwa Sasa analaumiwa yeye kwa kosa lipi?

NAOMBENI Wana Simba mtafakari tatizo la Simba kufanya vibaya lipo wapi na sio TU kuwashambuliwa watu ambao hawahusiki.

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when nauza mabalo ya nguo za mtumba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share