27/07/2026
Mashine hii inakazi nyingi sanaa unafanya tu kubadilisha dai zake .inatumika kuweka matundu/ matobo kwenye nguo k**a vile nguo za harusi n.k, inagonga vifungo vya chawa, inagonga vifungo vya bati size zote .,inaweka urembo wa Pete kwenye vifungo
Utaipata Kwa sh laki Moja (100000)tu ikiwa na dai 2.ambapo ni dai ya vifungo vya bati size 40 na dai ya kuweka matundu size 28
Karibuni sanaaa tucheki Whatsapp no 0699323997