Ob mitumba store

Ob mitumba store MABALO YA MITUMBA | GRADE A NA CREAM TU
DAR DELIVERY POPOTE | MKOANI TUNATUMA BURE🚛
Tunapatikana📍 ILALA BOMA SOKONI
PIGA SIMU
☎️0654465202
📞0764328147

Ulipo wewe , na sisi tupo ✅Tanzania k**a kijiji , delivery popote mzigo unakufikia mpaka nchi jilani , congo , kenya , u...
13/05/2026

Ulipo wewe , na sisi tupo ✅
Tanzania k**a kijiji , delivery popote mzigo unakufikia mpaka nchi jilani , congo , kenya , uganda ✈️
-
Wasiliana nasi leo
☎️0654465202 au +255 764 328 147

GOOD IS GOOD🔥🔥Feedback ya mzigo wa gauni za fashion mzigo wa 680,000/=🔥🔥🔥🔥 Idadi 130-140 ✅-Wasiliana nasi ☎️0654465202
13/05/2026

GOOD IS GOOD🔥🔥
Feedback ya mzigo wa gauni za fashion mzigo wa 680,000/=🔥🔥🔥🔥 Idadi 130-140 ✅
-
Wasiliana nasi
☎️0654465202

GOOD IS GOOD🔥🔥Feedback ya mzigo wa gauni za fashion mzigo wa 680,000/=🔥🔥🔥🔥
13/05/2026

GOOD IS GOOD🔥🔥
Feedback ya mzigo wa gauni za fashion mzigo wa 680,000/=🔥🔥🔥🔥

FLARE JEANS BALO 270,000/= TU GRADE A KABISA ANGALIA SAMPLE IZO ALIZOPATA MTEJA ✅
12/05/2026

FLARE JEANS BALO 270,000/= TU GRADE A KABISA ANGALIA SAMPLE IZO ALIZOPATA MTEJA ✅

12/05/2026

Ebu Sema creaaaaaaaaaaaam 🔥🔥🔥🔥 1,000,000/= tu inakutosha kupata mzigo wako ✅ ni maini matupu hakuna utumbo wala bandama humu😄😄😄 (idadi gauni 130-150) Ni gauni mchangangiko yani silk , cotton na polly ✅
-

Mzigo wa nguo za watoto wa china mteja anaenjoy sana , njoo na ulichonacho sisi tutakushauri mzigo wa kununua na mzigo w...
09/05/2026

Mzigo wa nguo za watoto wa china mteja anaenjoy sana , njoo na ulichonacho sisi tutakushauri mzigo wa kununua na mzigo wa kuanza nao🔥🔥🔥🔥

08/05/2026

Shuka cream (mpya hazijatumika) zinakaa shuka 2 na foronya 4 (set moja iyo) , shuka ni 100% size kubwaa kabisaa ya mwisho 8/9
😊shuka hazichujiii wala kutoaaa vipeleeee au nyuzinyuzi
-
Balo lina set 25 (manake shuka 50 foronya 100) hizi ni shuka zenye urembo au maua tofauti tofauti au muonekano tofauti tofauti
-
Bei ni 850,000/= TU 😊😊
-
Pia kuna balo za shuka nyeupe (zenye mistari kwa mbali ) set 25 (set moja ni shuka 2 foronya 4) pia 900,000/= afu kuna nyeupee peeee bila mistari ni 900,000/= pia
-
vile vile kuna za mtumba pasipo foronya bei ni 420,000/= pc 70-80 za china ni mpyaaa kabisa na ambazo hazina foronya ni 480,000/= hizi size zinakua mix size zake mchanganyiko na pia material ya shuka ni mchanganyiko pia pia kwenye hili kundi ni mashuka ya canadno 1 grade A n.k pc 80+⚫️🟢
-
Pia zipo za china , 290,000 grade a super ambazo hazijatumika pc 70+ pia hizi size na material na size ni mchanganyiko
-
-
Pia tuna balo za bedcover pekee , bedcover mix bedsheet n.k pia kuna balo za foronya pekee akee

Address

Ilala Boma Sokoni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ob mitumba store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category