Dawa zaasili za magonjwa yote

Dawa zaasili za magonjwa yote Karibuni mpate tiba nzur za asili za magonjwa yote

*FEMICARE KIPENZI CHA WANAWAKE*Ni dawa ipo katika mfumo wa kimiminikaUnasafishia ukeni usiku mara Moja  *KAZI ZAKE*👉Huti...
27/06/2022

*FEMICARE KIPENZI CHA WANAWAKE*

Ni dawa ipo katika mfumo wa kimiminika
Unasafishia ukeni usiku mara Moja

*KAZI ZAKE*
👉Hutibu UTI sugu
👉Hutibu Fangasi sugu
👉Inaondoa Miwasho ukeni
👉Inaondoa Harufu mbaya ukeni
👉inaondoa Uchafu unatoka ukeni
👉inasafisha na kuzibua milija ya uzazi
👉inakurinda usipate UTI na Fangasi
👉inaufanya uke unakuwa msafi na kuvutia muda wote
👉inaongeza joto la uke
👉inabana Kuta za uke zilizo legea
👉inapunguza Maumivu makali wakati wa Hedhi
👉inarudisha ute ute ukeni
👉inatibu PID ikitumika na refined, Refined ni ya vidonde unameza

Kwa maelekezo zaidi namna ya Kuipata karibu inbox au piga...0714275792

Habari karibu sana nyoote
25/04/2021

Habari karibu sana nyoote

MAUMIVU WAKATI WA HEDHI Menstrual cramps ni maumivu ya kukak**aa kwa misuli ya eneo la chini ya tumbo. Wanawake wengi hu...
06/09/2020

MAUMIVU WAKATI WA HEDHI

Menstrual cramps ni maumivu ya kukak**aa kwa misuli ya eneo la chini ya tumbo. Wanawake wengi hupata maumivu haya kabla kidogo au wakati wakiwa kwenye siku zao. Kwa baadhi ya wanawake, maumivu haya huwa ni ya kuwakosesha raha. Kwa wengine, huwa ni makubwa kiasi cha kuwafanya washindwe kuendelea na shughuli zao za kila siku kwa siku kadahaa kila mwezi.
Primary dysmenorrhea ni maumivu ya wakati wa hedhi ambayo hujirudiarudia kila mwezi na ambayo hayatokani na magonjwa mengine ya mwili. Maumivu haya ya wakati wa hedhi ambayo hayana sababu za kueleweka, hupungua kadri mwanamke anavyozidi kuwa na umri mkubwa na mara nyingi hupungua sana mara baada ya kuzaa.
Secondary dysmenorrhea ni maumivu ya wakati wa siku za mwanamke ambayo yanatokana na dosari katika viungo vya uzazi vya mwanamke, k**a endometriosis, adenomysis, uterine fibroids au maambukizi ya wadudu. Maumivu ya kukak**aa kwa misuli sehemu ya chini ya tumbo yanayoweza kuwa makali Kichwa kizito na maumivu ya kichwa endelevu Maumivu yanayenea sehemu za mgongoni na kwenye mapaja
Wanawake wengine hupata: Kichefuchefu Haja kubwa mara kwa mara Maumivu ya kichwa Kizunguzungu
Chanzo Cha Maumivu Ya Wakati Wa Hedhi
Wakati wa hedhi, nyumba ya uzazi hujiminya ili kuondoa utando wake wa juu. Vitu vilivyo mfano wa homoni – prostaglandins – vinavyohusika na maumivu na uvimbe, huchagiza kujiminya kwa misuli ya nyumba za uzazi (uterus). Uwepo wa prostaglandins kwa wingi kunahusishwa na maumivu makali ya hedhi.
Kujiminya kwa misuli ya uterus kukiwa kwa kiwango kikubwa mno, kunaweza kuziba mishipa ya damu inayoilisha nyumba ya uzazi (uterus). Maumivu yatokanayo yanaweza kulinganishwa na maumivu ya kifuani wakati mishipa ya damu ikiziba na kusababisha baadhi ya sehemu za moyo kukosa chakula na oksijeni.
Maumivu ya wakati wa hedhi yanaweza pia kusababishwa na: Endometriosis. Hii ni hali ambapo tishu ambazo kwa kawaida hujenga ndani ya uterus, zinajenga nje 0714275792

UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBOVidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na ...
14/07/2020

UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)

Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa

Gastric_Ulcer-1200x720

2. Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)
Kuwa na mawazo mengi
Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
Kunywa pombe na vinywaji vikali
Uvutaji wa sigara
Kuto kula mlo kwa mpangilio
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a;

gastrita

Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula
Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
Kupata haja kubw ya rang kahawia0714275792

SIKU ZA MIMBA NA HATARI KATIKA MIZUNGUKO MBALIMBALI1. Mzunguko wa siku20. Siku zahatari zinaanza Siku ya 2 had Siku ya 1...
09/05/2020

SIKU ZA MIMBA NA HATARI KATIKA MIZUNGUKO MBALIMBALI

1. Mzunguko wa siku20. Siku zahatari zinaanza Siku ya 2 had Siku ya 10.

2. Mzunguko wa Siku 21 Siku za hatari zinaanza sku ya 3 had Siku ya 11.

3. Mzunguko wa Siku 22 Siku za hatari zinaanza Siku ya 4 hadi Siku ya 12

4- mzunguko wasiku23 Siku za hatari zinaanza Siku ya 5 hadi Siku ya 13

5- mzunguko wa siku 24 Siku za hatari zinaanza skuya8 had ya 14

6- mzunguko wa siku 25 Sikuza hatar zinaanza Siku ya 9 had 15

7- mzunguko wa siku26 sikuzahatari znaanza sikuya 10 hadi 16

8- mzunguko wa siku27 sikuzahatari zinaanza siku ya 11 had 17.

9- mzunguko wa sku28 Siku za hatari zinaanza Siku ya 10 had ya 18.

10. Mzunguko wa siku 29 Siku za uzaz zinaanza sikuya11 had Sikuya19

11- mzunguko wa Siku 30 sikuza uzaz zinaanza sikuya12 had ya 20

12- mzunguko wa siku31 Siku za uzaz zinaanza Siku ya 13 hadi siku ya 21

13. Mzunguko wa Siku 32 sikuzahatari zinaanza Siku ya 14 hadi Siku ya 22
14- mzunguko wa Siku 33 Siku za hatari zinaanza Siku ya 15 had Siku ya 23.

15- mzunguko wa sku34 Siku za hatari zinaanza Siku ya 16 hadi Siku ya 24.

16. Mzunguko wa siku 35 Siku za hatari zinaanza sikuya 17 had sikuya25.

NOTE - Mzunguko chini ya siku20 haupo na sio mzuri hata ukiwa nao. Na pia mzunguko wa Siku zaid ya 35 haupo na k**a unao sio mzuri0714275792

Unaanzaje kuikosa k**a mwana mke🔥Wahi wahi zimebaki chache usikubali kutapeliwa ***OFFA OFFA OFFA* *Jipatie Femicare kwa...
07/05/2020

Unaanzaje kuikosa k**a mwana mke🔥Wahi wahi zimebaki chache usikubali kutapeliwa ***OFFA OFFA OFFA*
*Jipatie Femicare kwa*
*Tsh 26000 .👇🏽
WANAWAKE WOTE FEMICARE NI MUHIMU SANA NA NI LAZIMA UTUMIE KWANZA ZIJUE FAIDA 9 ZA FEMICARE

Femicare ni dawa ya Asili kutoka USA HUTUMIWA NA WANAWAKE
ZIJUE FAIDA 9 ZA FEMICARE

1⃣huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaoshare vyoo

2⃣inatibu Fangasi sugu ukeni, na U.T.I sugu
3⃣Ni nzuri sana kwa wenye P.I.D atumie na yunzi
4⃣huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa na kurudisha ute ute unaohitajika

5⃣Inafanya uke kuwa msafi na mkavu muda wote.
6⃣Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovurugika.

7⃣Inakaza misuli ya uke uliolegea na kuwa tight.
8⃣Inaondoa maumivu ya tumbo chini ya kitovu. (chango)
9⃣ inaondoa michubuko ukeni,.0714275792

*SHINIKIZO LA JUU LA DAMU. (HYPERTENSION)**Je unajua k**a pressure ni miongoni  ya magonjwa yanayoongoza kwa vifo vya wa...
25/04/2020

*SHINIKIZO LA JUU LA DAMU. (HYPERTENSION)*

*Je unajua k**a pressure ni miongoni ya magonjwa yanayoongoza kwa vifo vya watu wengi na wengi wameangaika bila mafanikio sasa usiteseke tena tiba bora ipo na unapona kabisa*

*Dalili za pressure*
*1⃣Shida ya kuona*
*2⃣Maumivu ya kichwa muda mrefu*
*kuchoka sana*
*3⃣Kupumua kwa shida*
*4⃣Mapigo ya moyo kubadilika*

*Madhara ya pressure*
*1⃣kupooza*
*2⃣kifo*
*3⃣figo kufeli*
*4⃣kuvimba miguu* *0714275792

Kwa dawa asili magonjwa yote k**a fangas sugu na uti uvimbe  maswala ya uzaz kukosa mtoto chango .miguukuwaka moto kufag...
09/04/2020

Kwa dawa asili magonjwa yote k**a fangas sugu na uti uvimbe maswala ya uzaz kukosa mtoto chango .miguukuwaka moto kufaganzi presha ngiri .nguvu za kiume. Homon ibalans wasiliana nami 0714275792

*0714275792.FAHAMU USILOLIJUA KUHUSU NGUVU ZA KIUME*   baada ya kumuingilia mwanamke huitwa "premature ej*******on". Udh...
02/02/2020

*0714275792.FAHAMU USILOLIJUA KUHUSU NGUVU ZA KIUME*

baada ya kumuingilia mwanamke huitwa "premature ej*******on". Udhaifu huu ni kwa wanaume wengi ikiwa ni vijana.
Watu hawa humaliza tendo dakika moja mara baada ya kumuingilia mwanamke. Hali humfanya mwanamke kutoridhika na kujisikia vibaya.

Pia wapo wanaume ambao wanaweza kuchukua hata dakika 20 bila kutoa mbegu (kufika kileleni) baada ya kumuingilia mwanamke. Hawa nao pia ni wagonjwa, kwa sababu kiutaalamu inatakiwa uende dakika 5 hadi 7.

SABABU YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

•Mapenzi ya jinsia moja (ushoga)
•Kujichua (punyeto)
•Uchovu
•Msongo wa mawazo (stress)
•Uzito uliopitiliza
•Magonjwa ya mzunguko wa damu (presha au kisukari)

MATIBABU
Zipo njia nyingi kutatua tatua hili, wapo ambao hutumia dawa za kemikali ku boost ambazo dawa hizi zinakufanya upate hamu ya tendo na baadae ukihitaji tena kufanya tendo hadi utumie tena vidonge hivyo

NJIA MBADALA YA MATIBABU YA TATIZO HILI
Tuna tibu Kwa kutumia mchanganyiko wa virutubisho aina tatu

Kazi ya virutubisho hivi ni kufanya mambo yafuatayo
1⃣ Kuondoa msongo wa mawazo (stress)
2⃣ Kuketa na kurudisha heshima ya ndoa
3⃣ Kuleta hamu ya tendo la ndoa
4⃣ Kusaidia uume kusimama Barabara
5⃣Kusaidia kusukuma damu kwenye uume ili uweze kusimama barabara
6⃣Kuupa mwili nguvu na kuzalisha nishati za mwili
7⃣Kukufanya ujiamini muda wote wakati wa tendo.

Habari njema kwa wana wake wenzangu kujifunza ma swala ya afya kujifunza ni bure kuusu uti uvimbe miwasho maji maji ya n...
08/10/2019

Habari njema kwa wana wake wenzangu kujifunza ma swala ya afya kujifunza ni bure kuusu uti uvimbe miwasho maji maji ya nayo toa harufu homon kuto kubalansi karibu ujifunze bure bonyeza link hii bure kw mafunzo bure https://chat.whatsapp.com/Fy0RHBNKR0R2sHMQWhsgJV

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dawa zaasili za magonjwa yote posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share