Wakazi Tanzania

Wakazi Tanzania watengenezaji na wasambazaji wa vifaa vya michezo, Jezi| Tracksuits |Viatu | Mipira

Mvaya City Third Kit for 2025/2026 season
24/09/2025

Mvaya City Third Kit for 2025/2026 season

Mbeya City Away Kit 2025/2026
24/09/2025

Mbeya City Away Kit 2025/2026

Mbeya City Official Home  Kit for 2025/2026Rangi ya Zambarau ni alama ya heshima, nguvu, hekima na  kifahari inayoungani...
23/09/2025

Mbeya City Official Home Kit for 2025/2026

Rangi ya Zambarau ni alama ya heshima, nguvu, hekima na kifahari inayounganisha utulivu na ubunifu.

Msimu huu Mpya wana Koma Kumwanya "Purple Nation" huu ndio U*i watatumia kuonyesha ufahari wao na kurudisha heshima ya Jiji la Mbeya kwa kubeba ubingwa.

Jezi zitapatikana Dukani kwetu Na mawakala tutakao watangazwa

Tanzania Prison Sc Third Kit (Jezi ya Tatu/ziada)Jezi zetu sio za Kuvaa uwanjani tu, tumetengeneza Quality na Design ina...
20/09/2025

Tanzania Prison Sc Third Kit (Jezi ya Tatu/ziada)

Jezi zetu sio za Kuvaa uwanjani tu, tumetengeneza Quality na Design inayokuwezesha kuvaa hii jezi sehemu yoyote ilee.

Jezi zitapatikana Maduka yote ya Magereza Tanzania Nzima na Duka la Wakazi kkoo Dar es Salaam

Tanzania Prison Away Kit Jezi hii ndio itatumiwa na Tanzania Prison Sc pale wanaposambaza Pira Gwaride  mikoa ya Tanzani...
19/09/2025

Tanzania Prison Away Kit

Jezi hii ndio itatumiwa na Tanzania Prison Sc pale wanaposambaza Pira Gwaride mikoa ya Tanzania

Wakazi Tanzania hatutoi tu Jezi bali Tunatoa jezi zinazo kidhi viwango vyote vya Ubora kwa Bei ya Kizarendo kabisa

Jezi zitapatikana maduka yote ya Magereza na Duka la Wakazi kkoo

Utambulisho rasmi wa jezi mpya za Tanzania PrisonHome Kit (Jezi ya Nyumbani)Jezi ya Wajela Jela aka Sare Ya Taifa ambayo...
19/09/2025

Utambulisho rasmi wa jezi mpya za Tanzania Prison

Home Kit (Jezi ya Nyumbani)

Jezi ya Wajela Jela aka Sare Ya Taifa ambayo mashabiki wengi walikuwa wakisubiri kwa hamu hatimaye imewasili. Hii ndiyo Jezi rasmi itakayovaliwa na Wajela Jela ndani ya Uwanja wa Sokoine.

Jezi hizi zinapatikana kwenye Duka la Wakazi na maduka yote ya Magereza Tanzania

nzima.

Tanzania Prison Sc Away Kit( Jezi Ya Ugenini) Pira Gwaride litasambazwa mikoani kwa Jezi Hizi,  Jezi zenye Quality ya Ha...
18/09/2025

Tanzania Prison Sc Away Kit( Jezi Ya Ugenini)

Pira Gwaride litasambazwa mikoani kwa Jezi Hizi, Jezi zenye Quality ya Hali ya juu kwa Bei ya Kitanzania

Wakazi Hatuna Shughuli Ndogo

Utambulisho rasmi wa jezi mpya za Tanzania Prison Home Kit (Jezi ya Nyumbani)Jezi ya Wajela Jela aka Sare Ya Taifa ambay...
18/09/2025

Utambulisho rasmi wa jezi mpya za Tanzania Prison

Home Kit (Jezi ya Nyumbani)

Jezi ya Wajela Jela aka Sare Ya Taifa ambayo mashabiki wengi walikuwa wakisubiri kwa hamu hatimaye imewasili. Hii ndiyo Jezi rasmi itakayovaliwa na Wajela Jela ndani ya Uwanja wa Sokoine.

Jezi hizi zinapatikana kwenye Duka la Wakazi na maduka yote ya Magereza Tanzania nzima.

OFA  YA MASAA kwa  Jersey Mpya kwa Msimu wa 2020/2026 Kwa Wateja Wa Jumla karibuni Bei mserereko Wahi sasa, Hii bei hupa...
19/08/2025

OFA YA MASAA kwa Jersey Mpya kwa Msimu wa 2020/2026

Kwa Wateja Wa Jumla karibuni Bei mserereko Wahi sasa, Hii bei hupati kokote πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

WAZAZI NA WAMILIKI WA SHULE HII YENU Jezi Kalii za Taifa Stars kwa ajiri ya Watoto  zimetua Dukani Kwetu Hizi Jezi zinaf...
13/02/2025

WAZAZI NA WAMILIKI WA SHULE HII YENU

Jezi Kalii za Taifa Stars kwa ajiri ya Watoto zimetua Dukani Kwetu

Hizi Jezi zinafaa sana kwa Watoto iwe kuchezea Mpira, kwenda nazo Shule au kucheza watoto wenzake kitaaa

Mwanao akivaa Jezi hizi atajiona K**a Messi au Samatta⚽ πŸ˜ƒ, hii ni hatua ya kwanza kwa mwanao kuja kuwa Mchezaj mkubwa

Jezi zipo aina Tatu, Jezi ya Nyumbani, Jezi ya ugenini na Jezi ya Tatu

Usiache hii Fursa ya Kung'aa ikampita mwanao au ndugu yako

WAHI SASA DUKANI HUU MZIGO UNAENDA KWA KASI SANA.

πŸ“ Muhonda na Congo (karibu na Wanyama Hotel)
πŸ“ž0715408545

Uongozi Wa WAKAZI TANZANIA unapenda kutoa Shukuran za dhati kwa Team zilizotuamini kwa mwaka 2024 na kutupa jukumu la Ku...
01/01/2025

Uongozi Wa WAKAZI TANZANIA unapenda kutoa Shukuran za dhati kwa Team zilizotuamini kwa mwaka 2024 na kutupa jukumu la Kuhakikisha team zao zinapendeza kila zinapoingia uwanjani.

Bila Kusahau Wateja wetu wa Nguvu waliokuwa na sisi toka mwanzo wa Mwaka 2024 mpaka tumeingia 2025

Ahsanteni Sana Kwa Kuendelea kuwa Familia ya WAKAZI TANZANIA

Daima tunaahidi Bidhaa na Huduma Bora

HAPPY NEW YEAR 2025

Team yako gari limewaka k**a Chelsea??Team Yako bado inajitafuta k**a United ??Team yako inashinda kwa kona k**a Arsenal...
05/12/2024

Team yako gari limewaka k**a Chelsea??

Team Yako bado inajitafuta k**a United ??

Team yako inashinda kwa kona k**a Arsenal ?

Team yako trip mjini trip Garage k**a Madrid ?

Bila kubbagua bila kuchagua Njoo duka la wakazi ujipatie jersey hizi bora kwa Bei nzuri sana

πŸ“ Muhonda na congo I KKOO
πŸ“±0715408545

Address

Muhinda/congo Street
Dar Es Salaam
89364

Opening Hours

Monday 07:00 - 19:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 19:00
Thursday 07:00 - 19:00
Friday 07:00 - 19:00
Saturday 07:00 - 19:00
Sunday 08:00 - 14:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wakazi Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share