Kisha Store

Kisha Store Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kisha Store, Clothing (Brand), Dar es Salaam.

14/03/2025
Skin Tight NzitoDazeni sh 60,000
14/03/2025

Skin Tight Nzito
Dazeni sh 60,000

Material mazuri.PC 1 sh 13,000 kuanzia PC 5Size: M,L XL na XXL
06/02/2025

Material mazuri.
PC 1 sh 13,000 kuanzia PC 5
Size: M,L XL na XXL

Mwaka mpya na mambo mapya. Asante Mungu
02/01/2025

Mwaka mpya na mambo mapya. Asante Mungu

Free size.Tsh 12,000 kuanzia PC 3
19/12/2024

Free size.
Tsh 12,000 kuanzia PC 3

Skin tight nzuri banatumbo.Dazeni Tsh 35,000
19/12/2024

Skin tight nzuri banatumbo.
Dazeni Tsh 35,000

19/12/2024

Kila siku unapoamka ni lazima uamue; wewe uiendeshe SIKU yako au siku IKUENDESHE wewe...

Haya ni maamuzi muhimu kwa sababu utakapoanza siku tu...

Utaanza kukutana na vitu vya KUKUUDHI...

Au KUKUKATISHA TAMAA.

Kwa uzoefu wangu, zile siku ambazo inatakiwa MAMBO MUHIMU yatokee kwenye maisha yako...

Ndio utaanza kukutana na “visanga” mapema sana.

Kuna habari zingine utatumiwa kwenye meseji/kupigiwa simu.

Kuna zingine utazisoma kwenye vyombo vya habari.

Au kuzishuhudia kwa macho.

Hata leo, kuna sababu nyingi za kukufanya UKATE TAMAA.

Au UUMIE.

Au URUDI NYUMA.

Uamuzi ni wako.

Ukiruhusu MANENO ya wengine yakuendeshe...

Na WAAMUE FURAHA yako, basi hautafika mbali.

Leo, DHAMIRIA kuwa:

Bila kujali nini kitatokea kwenye maisha yako...

Utaambiwa au utakisikia, USIKUBALI kikuendeshe.

Focus on Your Goals!

K**a umeipenda makala hii...

1. NIANDIKIE ulichojifunza kwenye comments kwa ufupi...

2. SHARE makala hii na mtu mmoja unayemjali...

Muda wowote ukiwa tayari nikusaidie kutimiza malengo yako hizi ndio namna 4 ninazoweza kukusaidia.

1. Kupitia Vitabu Vyangu Vya Kidigitali (SOFTCOPY/EBOOKS) tuma neno eBook kwenda WhatsApp +255 762 312 117

2. Vitabu Vyangu HALISI Vya Karatasi (HARDCOPY)

Piga +255 762 312 171 / +255 745 252 670

3. Mafunzo Kwa Njia Ya Video, KOZI.

Piga +255 762 312 117

4. Kupitia Exclusive MENTORSHIP

Piga +255 749 741 923

See You At The Top

Dr. Joel Arthur Nanauka

BOXER ZA KIUME WATOTO ZA SPIDERMAN. Dazeni Tsh 10,000 inakuwa na boxer 12☆Size M(Mwaka 1-2)☆Size L (Miaka 3-4)☆Size XL(M...
09/12/2024

BOXER ZA KIUME WATOTO ZA SPIDERMAN.

Dazeni Tsh 10,000 inakuwa na boxer 12

☆Size M(Mwaka 1-2)
☆Size L (Miaka 3-4)
☆Size XL(Miaka 5-6)

17/11/2024

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kisha Store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share