Netty de modeling

Netty de modeling modeling issues. we are found at ubungoi,..Dar es salaam

Netty de Modeling is dealing with all modelling issues...... We provide the service of fashion shows,
video show, advertisment, and wedding issues.

25/07/2013

We are comming soon oficial.... Get prepared models ~~Revolution Comming~~

yeah! Kesho ndio 1 june.... Tuna laung  RRM wikend fashion show 2013 kiingilio itakuwa bureeeeeeeeee kabisa ni pale nafa...
31/05/2013

yeah! Kesho ndio 1 june.... Tuna laung RRM wikend fashion show 2013 kiingilio itakuwa bureeeeeeeeee kabisa ni pale nafasi art space mikocheni nikuanzia saa 1 usiku be their wewe model, designer and all other people upate exprience mbali mbali kutoka kwa JOCKTAN WA MAKEKE na SWEEDEN DANSERS..........!

je, ulikuwa na ndoto za kupanda stage katika fashion show ya tz..... K**a ndio bhasi umepata nafasi  ya kupanda kwenye R...
28/05/2013

je, ulikuwa na ndoto za kupanda stage katika fashion show ya tz..... K**a ndio bhasi umepata nafasi ya kupanda kwenye Rangi RangI za makeke (RRM) Wikend fashion show itakayo fanyika tar 1 june 2013 cha kufanya uwe na vigezo vyote vya kuwa model na piga hiyo kupata maelezo zaidi..... Kazi ni kwako wewe mdada na mkaka wa bongo dsm.

26/05/2013

Rangi Rangi za makelele (RRM) Wikend fashion show 2013.... Comming soon 8 models from netty de modeling will going to present get aware.... All info u will get in our page...

26/04/2013

kesho training inaanza rasmi to the model wote, ni pale pale kigamboni... Jiunge nasi nyote mnakaribishwa there is alot of enjoyment n funny their! Netty de modeling new season!...

22/04/2013

Netty de modeling tunaanza msimu mpya mwezi huu.... Matangazo, show, photoshoot, na training kwa models wachanga wanaojiunga nasi....! Karibu sana wewe ulie na ndoto ya kuwa model unaruhusiwa kujiunga nasi bado hujachelewa.... Tuma namba yako na jina kamili bhasi na sisi tutakutafuta.... Au piga 0719 700029 na wote mliotutumia number zenu tutawacheck wiki hii ili ijayo tujiunge pamoja... Enjoy to stay with us.

the gentlemen
15/04/2013

the gentlemen

Realy model sanaa anakuja kwa kasi mpeni support afike mbali.....
15/04/2013

Realy model sanaa anakuja kwa kasi mpeni support afike mbali.....

Aje!  Aje! Wadau wa fashion ??  Naongea na wewe mwenye ndoto za kuwa model...... Netty de modeling iko kwaajili ya kutim...
14/04/2013

Aje! Aje! Wadau wa fashion ?? Naongea na wewe mwenye ndoto za kuwa model...... Netty de modeling iko kwaajili ya kutimiza ndoto yako...... Jiunge nasi team models.... Unachotakiwa kufanya ni kupiga 0719 700029 then hapo utakuwa umemaliza kabisa na ndoto yako itakamilika.... Netty de modeling # #** we bring some thing unique.....!

new model in fashion! Mkwabi
12/04/2013

new model in fashion! Mkwabi

real model from netty de modeling!
12/04/2013

real model from netty de modeling!

sam the dude in the fashion..... Daaash!
12/04/2013

sam the dude in the fashion..... Daaash!

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Netty de modeling posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share