Fifyproducts.com

Fifyproducts.com KARIBU FIFY BEAUTY SALON ILIYOPO TABATA-SEGEREA.TUNASUKA NYWELE MITINDO YOTE,HAIR TREATMENT NA MAKEUP.GHARAMA ZETU NI NAFUU.

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA +255 718 667 088
WhatsApp +255 767 242 656

29/11/2025
28/09/2024

Karibu chuo cha urembo Fifÿ kilichopo tabata segerea, tunafundisha ususi mitindo yote, makeup na ushonaji.Chuo chetu kipo katika mazingira mazuri na tulivu,kuna waalimu waliobobea katika fani hizo.Mafunzo yote ni kwa vitendo hata k**a hujui tutakufundisha.Utapata fursa ya kutafutiwa kazi baada ya kumaliza kozi na utafundishwa kutengeneza shampoo ya nywele bure.Fomu za kujiunga zinapatikana chuoni kwetu kwa Tsh 7000 na whatsapp(bure)kuna kozi za kuanzia mwezi mmoja hadi miezi 6.Ada zetu ni nafuu na unalipa kwa awamu.Kwa maelezo zaidi tupigie 0718667088/whatsapp 0767242656

16/09/2024

Karibu katika chuo cha urembo FIFY kilichopo Tabata Segerea.
Tunafundisha kusuka mitindo mbalimbali naya kisasa,makeup aina zote,ushonaji wa nguo mitindo mbalimbali.
Njoo ujipatie ujuzi kutoka kwa waalimu wabunifu na wabobezi katika fani hizi.
Chuo chetu ni cha kutwa na tunapokea wanafunzi wa jinsia zote umri kuanzia miaka 15,hata k**a hujui kabisa utatoka ukiwa umejua kila kitu.
Tutakufundisha
-Nywele za mkono, mbinguo,uzi(style)
-Mwanandani, mwiba wa samaki,mkeka
-Mabutu aina zote na knotles(styles)
-Kuosha,kuweka dawa,curl,steaming,kubond nywele,set,net wave,finger coil,comb coil,dreadlocs
-Kushonea weaving fupi na refu,kubond wig,kuweka rangi nywele
-Yeboyebo with styles
-Stitches with styles,crotchet hair with styles,afro kinky/fluffy kinky with styles
-Natural hair with styles,kuchora henna
-Makeup(simple,tradituonal,events&bridal)
-Kufunga malemba(gele)aina mbalimbali
-Mibano ya nywele aina mbalimbali
-Lace wig installation,pass& tong n.k
Kozi ya urwmbo ni miezi 3 ada ni laki 3 inalipwa kwa awamu 2.
Kwa wale ambao wanahitaji kujiendeleza katika mitindo mbalimbali wanapokelewa pia.
Kozi ya ushonaji ni miezi 3 laki 3 na miezi 6 sh.550,000
Fomu zinapatikana chuoni kwa sh 7000
Whatsapp ni bure(utaprint mwenyewe)
Masomo yataanza tar 30/09/2024
OFA:
-utatafutiwa kazi baada ya kumaliza
-Kutengeneza shampoo ya nywele bure
Kwa maelezo zaidi piga simu +255718667088/ Whatsapp 0767 242 656

KARIBU FIFY BEAUTY SALON ILIYOPO TABATA-SEGEREA.TUNASUKA NYWELE MITINDO YOTE,HAIR TREATMENT NA MAKEUP.GHARAMA ZETU NI NAFUU.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA +255 718 667 088
WhatsApp +255 767 242 656

11/09/2024

Karibu chuo cha urembo Fify upate ujuzi kutoka kwa waalimu waliobobea katika fani ya ususi, makeup na ushonaji.Chuo kinapatikana Tabata Segerea ada zetu ni nafuu sana kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0767242656.
Fomu zinapatikana chuoni na online

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00

Telephone

+255718667088

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fifyproducts.com posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fifyproducts.com:

Share