01/05/2025
Hello wapendwa
Wale wanaopenda shuka za Mtumba Grade A ππ nawaitaa hapa
Tunauza mashuka ya Mtumba Grade A tu hatuna B Wala C
Shuka ni mkataba hazipauki wala kutoa vipele material ni cotton π―
Size k**a mnavyoziona kuanzia 7 kwa 8 na kuendelea π₯π₯π₯
Tunauza Jumla na rejareja π₯
Shuka 2 foronya 4 Tsh elfu 25000
Pia Kuna zingine shuka 2 foronya 2 Tsh elfu 20 tu na piah tunakata Bales na nusu bales Karibu sana
wapendwa
Tunapatikana Dar es Salaam Tandika sokoni Karibu
Delivery tunafanya kwa gharama nafuu