Apron's Tanzania

Apron's Tanzania Chef
- Tunauza, tunabuni na kushona mitindo yote kulingana na Mahitaji ya Mteja
�0685486760/0759993

18/08/2026

MAKE IT SPEAK QUALITY.

17/08/2026
14/08/2026

JE, PESA YAKO IKO BENKI? 💰✅

Basi usiache thamani ya biashara yako ibaki kwenye akaunti wekeza kwenye mwonekano unaoleta thamani.

Ni rahisi kupata huduma za Aprons | Workwear & Uniforms. Fanya malipo ya oda yako na uruhusu kazi ianze, kisha sisi tutahakikisha wafanyakazi wako wanapata mwonekano unaoendana na hadhi ya biashara yako.

☑️Ubora unaoonekana
☑️ Muonekano wa kitaalamu
☑️ Utambulisho wa biashara yako

Karibu Aprons | Workwear & Uniforms. tubadilishe mwonekano wa wafanyakazi wako uendane na thamani ya pesa yako.

Mwonekano wako. Biashara yako.

10/08/2026

Acha kuwalaumu wafanyakazi kwa kutokujituma kwenye biashara yako.

Anza kwa kuwapa mazingira yanayowafanya wajivunie kazi wanayoifanya anzia kwenye mwonekano wao.

Wekeza kwenye uniforms zenye ubora, mwonekano wa kitaalamu na utambulisho wa biashara yako, kisha tazama jinsi taswira ya biashara yako inavyobadilika.

Mwonekano wako Biashara yako.

THIS WEEKEND, MATCH YOUR LOVE. Your favorite person deserves more than just a gift they deserve a moment to remember. St...
08/08/2026

THIS WEEKEND, MATCH YOUR LOVE.

Your favorite person deserves more than just a gift they deserve a moment to remember.

Step into the kitchen together in matching Couples Apron’s by Aprons | Workwear & Uniforms.

Love looks better when you match.

06/08/2026

Siku zote huwa nasema ubora huwa haujadiliwi, unaonekana tu hata bila ya kuzungumziwa,

Hii ndio huwa inatupa ujasiri wa kukumbusha kuwa k**a unatafuta Apron's za kiwango cha juu zenye mwonekano wa kuvutia na ubora unaodumu, basi umefika mahali sahihi.

Apron's Tanzania tumethibitisha kuwa sisi ni The Number One Apron's Manufacturer in Tanzania sio kwa kujigamba tu bari kwa ubora na uimara wa Apron's zetu,

Nisikilize vizuri usikubali mwonekano wa kawaida kabisa eneo la biashara yako chagua ubora unaotambulisha biashara yako kutoka kwa Mabingwa wa Mwonekano Bora Tanzania.

Kumbuka Mwonekano wako, Biashara yako.

06/08/2026

Siku zote huwa nasema ubora huwa haujadiliwi, unaonekana tu hata bila ya kuzungumziwa,

Hii ndio huwa inatupa ujasiri wa kukumbusha kuwa k**a unatafuta Apron's za kiwango cha juu zenye mwonekano wa kuvutia na ubora unaodumu, basi umefika mahali sahihi.

Apron'stz tumethibitisha kuwa sisi ni The Number One Apron's Manufacturer in Tanzania sio kwa kujigamba tu bari kwa ubora na uimara wa Apron's zetu,

Nisikilize vizuri usikubali mwonekano wa kawaida kabisa eneo la biashara yako chagua ubora unaotambulisha biashara yako kutoka kwa Mabingwa wa Mwonekano Bora Tanzania.

Kumbuka Mwonekano wako, Biashara yako.

Address

Mabibo Ubungo, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Apron's Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share