Severa Komu

Severa Komu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Severa Komu, Women's clothes shop, CHANG'OMBE SOKONI KARIBU NA KITUO CHA POLISI CHA CHANG'OMBE, Dodoma.

27/07/2026

Biashara inaanzia kwenye akili ndipo inakuja kwenye fedha kisha vitendoo. Kweli una wazo na kweli una hela ila ujui unapata wap bidhaa nzurii na bei rafikii.

Magauni hayajawahii mtupa mtuu anavaa kuanzia mabintii wadogo, wamama hadi watu wa makamuu. Kwa namna yoyote ile utafanya kaz tuuu.

Kwa wale wenye biashara na hawajui watapata wapi machimboo ya magauni nipo hapa chimbo la uhakika la magauni.
Kokotee tunatumaa kwa uaminifuu mkubwaa..

Guda link hiyoo utakuja moja kwa moja kwenye group la chimbo za gauni nzuri.

https://chat.whatsapp.com/LnSH9KZA4yL1lD5oOjIBe2?s=cl&p=a&ilr=1&amv=3

Unapokia kwenye sufuria ambayo sio nzuri na ambayo sio bora madhara yanaenda moja kwa moja kwenye afya yako. Jiulizee kw...
15/07/2026

Unapokia kwenye sufuria ambayo sio nzuri na ambayo sio bora madhara yanaenda moja kwa moja kwenye afya yako.

Jiulizee kwanini mafua haya ishii nyumban kwako.

Umeshachunguza kwanini.

Sufuria ndio suluishoo la yotee.

Rumbesaaa la sufuria k**a hizi zote unazipata kwa 130,000 tuuuu.

Hii nguo haishiii utamu wake. Yaan inampendeza mwembamba na mnene. Sio ya kukosa kwenye kabati lakoo.
02/06/2026

Hii nguo haishiii utamu wake. Yaan inampendeza mwembamba na mnene. Sio ya kukosa kwenye kabati lakoo.

Ubora umezingatiwa na rangii ni nzuri sanaa ndugu watejaa.
02/06/2026

Ubora umezingatiwa na rangii ni nzuri sanaa ndugu watejaa.

Mwanamkee maji ya kwanza unakosajee hii nguo.Tunauzaa jumla na reja rejaa.Jumla ni 20,000 reja reja 25,000
02/06/2026

Mwanamkee maji ya kwanza unakosajee hii nguo.
Tunauzaa jumla na reja rejaa.

Jumla ni 20,000 reja reja 25,000

11/05/2026

Kinachoipendeza funguo yako na ukaibeba kwa madahaa ni holder. Hebu ithamini funguo yako. Njoo vera collection tukupee holder nzuri.

10/02/2026

Tuna Punguzoo la Valentine hadi asilimia 15% kwa baadhi ya nguo zetu sogea dukan kwetu ujionee.

09/02/2026

Offer Offer ya Valentine sio ya kukosaa kwa Vera collection.

Gauni zipo kwenye offer ya valentine. Kuanzia 25,000 unajipatia gauni nzuri kwa Vera collection. Call/whatpp 0620415477..

Ni moja ya vazi linaloweza kutumika sehemu mbali mbali, mwenye size yoyote anaweza akalivaaa na likampendezaa. Kwa magau...
09/02/2026

Ni moja ya vazi linaloweza kutumika sehemu mbali mbali, mwenye size yoyote anaweza akalivaaa na likampendezaa. Kwa magauni mazuri karibuu Vera collection Changambee.
Whatpp/call 0620415477.

04/02/2026

Address

CHANG'OMBE SOKONI KARIBU NA KITUO CHA POLISI CHA CHANG'OMBE
Dodoma

Opening Hours

Monday 08:00 - 21:00
Tuesday 08:00 - 21:00
Wednesday 08:00 - 21:00
Thursday 08:00 - 21:00
Friday 08:00 - 21:00
Saturday 09:00 - 21:00
Sunday 10:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Severa Komu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share