��Pharmacy student life��

  • Home
  • ��Pharmacy student life��

��Pharmacy student life�� Wauzaji wa mitandio spesho kutoka Dubai na � Turkey Official account inayohusika na kuuza mitandio shoffon plain, shiffon Hariri na cotton.

--------------------------------------------------Drugs to treat Angina have to main mechanisms: (a) Decreasing cardiac ...
23/02/2019

--------------------------------------------------
Drugs to treat Angina have to main mechanisms: (a) Decreasing cardiac load and thus oxygen demand. (b) Improving coronary blood flow and thus oxygen supply.
_____________________________________________________
Drug Classes:
--------------------------------------------------
Organic Nitrates: Glyceryl Trinitrate (GTN); Isosorbide Mononitrate.
--------------------------------------------------
Calcium Channel Blockers: Amlodipine; Nifedipine; Diltiazem; Verapamil.
--------------------------------------------------
Statins: Simvastatin; Pravastatin.
--------------------------------------------------
Fibrates: Bezafibrate; Gemfibrozil.
--------------------------------------------------
Antiplatelets: Low-dose Aspirin
--------------------------------------------------
Any known mechanisms of action?

_______________________________________________________

Kipindi cha ujauzito kina mabadiliko  mengi sana,mojawapo ya mabadiliko haya ni kwenye afya ya kinywa na meno..tueleze u...
23/02/2019

Kipindi cha ujauzito kina mabadiliko mengi sana,mojawapo ya mabadiliko haya ni kwenye afya ya kinywa na meno..tueleze unajua nini kinachohusianisha mimba na meno?

Kifiziolojia meno yanatakiwa kukutana kila unapong'ata katika mpangilio uliokuwa sahihi (proper occlusion)  inapotokea  ...
21/02/2019

Kifiziolojia meno yanatakiwa kukutana kila unapong'ata katika mpangilio uliokuwa sahihi (proper occlusion) inapotokea changamoto katika namna ambavyo meno yako yanakutana inaweza kupelekea maumivu makali kwenye masikio au eneo la kuzunguka masikio.Ingawa maumivu haya yanaweza pia kutokana na sababu zingine.Soma zaidi kuhusu athari za mpangilio mbaya wa meno kwenye tovuti yetu.

PART ONE💉💉💊💊💉💉💊💊💉💉💊💊NI NINI HASA?Kuhisi uhitaji wa kufikicha macho ni hali ya kawaida hasa pale unapokuwa umechoka au pa...
21/02/2019

PART ONE
💉💉💊💊💉💉💊💊💉💉💊💊
NI NINI HASA?

Kuhisi uhitaji wa kufikicha macho ni hali ya kawaida hasa pale unapokuwa umechoka au pale unapohisi yanawasha. Ingawa kufikicha huku kwaweza leta unafuu wa mda lakini baadae tabia hii yaweza leta madhara kwenye macho. ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ MADHARA HAYO NI PAMOJA NA;

Kupelekea weusi kwenye macho. Kufikicha macho kila saa hupelekea kuvunjika kwa mishipa midogo midogo ya damu inayoizunguka jicho. Hivyo baadae mtu huwa na weusi kuzunguka jicho.

Kusababisha maambukizi kwenye jicho. Kwa kawaida mikono yetu ina vijidudu mbalimbali ikiwemo bakteria wa aina mbalimbali. Kufikicha macho kila wakati hupelekea vimelea hivyo kuweza kuingia kwenye jicho na baadae kusababisha maambukizi mbalimbali ya jicho

Kupelekea tatizo kuwa kubwa Zaidi. Kuna sababu mbalimbali ambazo ufanya jicho liwashe. K**a kuna kitu, mfano wa kijiti kimeingia, kusugua jicho huweza pelekea mikwaruzo ya sehemu ya mbele ya jicho. Pia k**a sababu ni allergy, hii hupelekea chembechembe za kikemikali zinazoambatana na allergy kuzidi kutolewa na hivyo husababisha jicho kuzidi kuvimba.

Inaweza sababisha kushindwa kuona vizuri.Hii hasa ni kwa wale ambao wana tatizo la shinikizo (presha) kwenye macho. Kufikicha huzidi kuongeza shinikizo (presha) hilo zaidi. Hali hii ni hatari, kwani yaweza sababisha baadhi ya mishipa ya fahamu kuharibika na kupelekea kushindwa kuona ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
@

studiying|advice|things to do...
18/02/2019

studiying|advice|things to do...

Address

St John's University Of Tanzania, Dodoma, Tanzania, +255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ��Pharmacy student life�� posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Clothing Store?

Share