Mwimbaji wa Gospel Kedmon nyawaje

Mwimbaji wa Gospel Kedmon nyawaje Mimi ni mwimbaji wa Injili lakini pia nina fanya kazi ya kuajiliwa

EAGT ibangamoyo huduma ya wokovu ndiyo sasa kwa mataifa yote in English salvation is now all the Nations ministry center...
02/11/2024

EAGT ibangamoyo huduma ya wokovu ndiyo sasa kwa mataifa yote in English salvation is now all the Nations ministry center by ev kedmon nyawaje tunawakaribisha wote kesho Ibadani inayoanza saa 3:00 asubuhi ---6:30 mchana karibu utabarikiwa mno

Kanisa la EAGT Huduma ya wokovu ndiyo sasa kwa mataifa yote in English salvation is now all the Nations ministry center ...
18/10/2024

Kanisa la EAGT Huduma ya wokovu ndiyo sasa kwa mataifa yote in English salvation is now all the Nations ministry center by ev kedmon nyawaje.
ULISHAWAHI KUWAZA ITAKUJAWE SIKU UKIMUONA BWANA MAWINGUNI KUJA KULINYAKUA KANISA NA WATAKATIFU?jibu ndiyo au hapana andika na k**a hapana je umejipangaje KUOKOKA na k**a ndiyo je umeokoka au bado!!!!!!!! Tupigie simu 0620620199/0743356972 tukupatanishe na Bwana kwa njia ya TOBA

Huduma ya wokovu ndiyo sasa kwa mataifa yote in English salvation is now all the Nations kesho nitakuwa TOSAMAGANGA BOY'...
09/10/2024

Huduma ya wokovu ndiyo sasa kwa mataifa yote in English salvation is now all the Nations kesho nitakuwa TOSAMAGANGA BOY'S HIGH SCHOOL nikihudumia wanafunzi wa advance form six and five zaidi ya wanafunzi 1000---kuanzia saa 7:30 mchana Mungu anatafuta watu wa kuwaokoa tutahubiri injili kila kona by ev kedmon nyawaje 0620620199

Karibu ibada Leo uabudu nasi kanisa la EAGT Huduma ya wokovu ndiyo sasa kwa mataifa yote in English salvation is now all...
29/09/2024

Karibu ibada Leo uabudu nasi kanisa la EAGT Huduma ya wokovu ndiyo sasa kwa mataifa yote in English salvation is now all the Nations ministry center by ev kedmon nyawaje.ujumbe usikate tamaa

"Huduma ya wokovu ndiyo sasa kwa mataifa yote"in English salvation is now all the Nations ministry center by ev kedmon n...
24/07/2024

"Huduma ya wokovu ndiyo sasa kwa mataifa yote"in English salvation is now all the Nations ministry center by ev kedmon nyawaje.leo tutakuwa na ibada saa 10:30 jioni mpaka saa 12:00 JIONI.
Ujumbe tutajifunza juu ya somo liitwalo JEHANAMU.kwa mawasiliano piga 0620620199/0743356972

"Huduma ya wokovu ndiyo sasa kwa mataifa yote"in English "salvation is now all the Nations ministries center (EAGT) irin...
20/07/2024

"Huduma ya wokovu ndiyo sasa kwa mataifa yote"in English "salvation is now all the Nations ministries center (EAGT) iringa inakukaribisha kwenye ibada ya neno la kweli,mafundisho ya kweli ishara na miujiza ya kweli kwa jina la YESU.ibada itaanza saa 3:00 asubuhi mpaka saa 6:30 mchana karibu UABUDU nasi ukitaka kufika piga simu 0620620199/0743356972.Ev kedmon nyawaje.

From "Huduma ya wokovu ndiyo sasa duniani kote"in English "salvation is now all the nations" 2coritho 6:2".somo "YATATOK...
18/07/2024

From "Huduma ya wokovu ndiyo sasa duniani kote"in English "salvation is now all the nations" 2coritho 6:2".somo "YATATOKEA MAKRISTO YA UONGO NA MANABII YA UONGO"Mathew 24:24.
Nataka mwana wa Mungu nikwambie kitu wewe ambaye unatangatanga hata kwenye neema tu hujaingia(kuokoka). Naona ni jinsi gani shetani kaachilia nguvu na mamlaka zake zinawateka watu na wengi wanapigwa chapa 666 bila kujua.
Tena wengi wamelizwa na injili ya utapeli na uongo wamebakia masikini mpaka wanalia.tena wengi wameibiwa nyota zao hapo walipo hawajitambui wanang'ang'ana na mafundisho ya kimashetani.ukimwambia Toka huko au wewe unashirikilia dini okoka utasikia Nina KANISA langu.
Tena wengi wanaelekea jehanamu mchana kweupe hususani wakina mama.watu wa Mungu dunia ikaribu kuisha IKARIBU IKARIBU IKARIBU IKARIBU YESU alinifunulia maono Fulani ya magonjwa ya ajabu ya kiroho na kimwili pia.ndiyo k**a hivi mnaona saivi watu wanakufa ghafla usingizini au amekaa.ugonjwa wa kiroho niliona roho chafu zimemwagwa k**a ukoma.
Mnanini nyie kuokoka KWANINI msiokoke mmeshikilia ukahaba,umalaya,michepuko,uganga huku mnaingia makanisani na kukimbilia POKEA POKEA haya ona hapo mwenyewe.
Nataka nikwambie siku za mwisho watamwagwa MAKRISTO ya UONGO wachungaji,waimbaji,manabii na mitume kwa nje wamevaa mavazi ya mwanakondoo ndani ni mbwa mwitu wakali watawalalu watu hawana huruma .ewe mwanadamu nakulilia mwanadamu mwanadamu usiangamie usiende huko kutafuta miujiza hebu okoka Leo muujiza wako upo ndani ya YESU ukisoma neno.kwa huduma hii ya kuokoka piga simu 0743356972/0620620199 ev kedmon nyawaje wa huduma ya wokovu ndiyo sasa duniani kote

Mungu Yu pamoja nasi
29/05/2024

Mungu Yu pamoja nasi

Hallelujah hallelujah hallelujah mwana wa Mungu yamkini umekata tamaa,umekosa kibari,umetengwa na ndugu,umecheka na mais...
29/05/2024

Hallelujah hallelujah hallelujah mwana wa Mungu yamkini umekata tamaa,umekosa kibari,umetengwa na ndugu,umecheka na maisha,mateso yamekuandama,amani hamna,umasikini,umekosa tumaini hapa jioni ya Leo nataka uandike hitaji lako comment unataka Nini Mungu akutendee ijumaa kesho kutwa Nina maombi ya namna isiyokuwa ya kawaida nitakuombea na wewe comment hitaji lako namimi nakuhakikishia kwa jina la YESU utapokea majibu.au nitumie sms 0620620199 au wasapu 0743356972 ev kedmon nyawaje

Karibu uimbe pamoja nasi kumtukuza YESU na uabudu pamoja nasi ibada ya jumatano,ijumaa na jumapili katika KANISA la EAGT...
29/05/2024

Karibu uimbe pamoja nasi kumtukuza YESU na uabudu pamoja nasi ibada ya jumatano,ijumaa na jumapili katika KANISA la EAGT wokovu ndiyo Sasa ministries center by ev kedmon nyawaje Mungu akimtumia vyema mjoli wake kedmon nyawaje tupigie 0743356972

Niwakaribishe ibada ya kesho jumapili katika KANISA la EAGT wokovu ndiyo Sasa ministries center by ev kedmon nyawaje hap...
18/05/2024

Niwakaribishe ibada ya kesho jumapili katika KANISA la EAGT wokovu ndiyo Sasa ministries center by ev kedmon nyawaje hapa hapa iringa ibada itakuwa yenye NGUVU na upako watu wote mnakaribishwa 0620620199

From EAGT wokovu ndiyo Sasa ministries center by ev kedmon nyawaje.SOMO:NGUVU YA UPOTEVU IMEMWAGWA DUNIANI ILI KUWAPELEK...
17/05/2024

From EAGT wokovu ndiyo Sasa ministries center by ev kedmon nyawaje.
SOMO:NGUVU YA UPOTEVU IMEMWAGWA DUNIANI ILI KUWAPELEKA WENGI JEHANAMU. 2THESALONIKE 2:11---12.
Nataka nikwambie ewe mwana na mtu wa Mungu. Leo hii NGUVU kubwa IMEMWAGWA ya upotevu watu WENGI wanaelekea JEHANAM.hususani watu wa dini wanaenda jehanamu kwenye mateso hivi hivi.
KWANINI: watu hawasomi maandiko wakayatafakari Ili yawafundishe kuijua kweli ya YESU.ngoja nikuoneshe viashiria hivyo ambavyo vinaonesha jehanamu anachekelea kwa kuwapokea WENGI:Leo hii watu wanamichepuko wamama na wababa,ndoa za mitala,ulevi,ukahaba na kafara na Bado wanaenda kanisani ukiwashuhudia okoka utaambiwa Nina KANISA langu KANISA Gani hilo uchafu TU.
Mambo mengine kupoteza hamu ya ibada unaenda TU k**a desturi jehanamu inakuhusu,kupoteza kwa kiu ya kusoma neno mara kwa mara na maombi yaani wewe ni mkavu mkavu k**a gogo huwezi hata kuomba au kugunga wewe jehanamu yako,kukata tamaa ya kusonga mbele kutokana na shida za Dunia umeisha wewe humwamini Mungu kuwa anaweza,makanisa mengi ya uongo yataongezeka na mafundisho Yao ya uongo jehanamu yenu,watu wanakataa kuokoka yaani waache maovu na kumkabidhi YESU maisha Yao jehanamu inakuja.watu wako bize na mambo ya Dunia kuliko Mungu weeeee jehanamu inawaka moto.mmmh mtu yupo tayari kuamka usiku kwenda kuangalia mpira kwenye vibanda umiza lakini kupiga goti TU na kuomba hawezi hehehehe YESU akusaidie,mtu Yuko tayari kuhonga mchepuko lakini nyumbani au ndugu wanateseka aaah imekula kwako.hebu geuka Leo YESU akusaidie.ni Mimi mtumishi wa Mungu kedmon nyawaje wa KANISA la EAGT wokovu ndiyo Sasa ministries center iringa.0620620199

Address

Dodoma

Telephone

+255755036445

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwimbaji wa Gospel Kedmon nyawaje posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mwimbaji wa Gospel Kedmon nyawaje:

Shortcuts

Share