AYAD Multistore

AYAD Multistore Wauzaji wa nguo za ndani kwa jumla na reja reja, k**e na kiume, watoto na wakubwa. Nguo za mitumba 1st grade na makorokoro kibaaao.

Kitu hakina haja ya maelexo mengi ukajikausha kifuaaaa. Kwa Tshs 20000 yako tuu unakuja chap kwa haraka ujipatie mambo m...
12/03/2026

Kitu hakina haja ya maelexo mengi ukajikausha kifuaaaa. Kwa Tshs 20000 yako tuu unakuja chap kwa haraka ujipatie mambo munakkash... sio uombe pashmina au abaya tuu, techniques unazijua?! Wee endelea kulala mjini hapa......!!

12/03/2026

Wapendwa wangu, hii ji fursa kwa wanaotaka kujiingizia kipato. Viatu vipo kwa jumla na reja reja. Njoo uchukue kwa jumla kwa Tshs 5000 ukauze kwa 7000 na kuendelea, inategemea na eneo lako la biashara. Usisubiri kuajiriwa. Mtaji kidogo faida ya kutosha. Ukitaka pcs moja njoo na 7000 ujibebee kiatu chako. Mvua, jua wewe sio shida zako!

11/03/2026

Nasemajeee, achana na vishungi vilivyojaa darajani. Ukivaa wewe jna pacha wako 11 k**a wewe. Njoo uchukue kitu pambe dukani Fuoni Mambosasa. Tshs 20000 unapata mzigo wa kutamba mjiniiii

11/03/2026

Jamani hii shungi 2 pcs jnaipata dukani kwetu kwa Tsh 20000 tuu. Kishungi pambe, quality 10/10 na sio sare ya mji. Fanya kuchangamkia uje ujibebeeee

04/03/2026




03/03/2026

Njoo upendeze kitaajir boss wangu. Tupo fuoni Mambosasa, zanzibar. Delivery ipo kila unapotaka...... muhimu sasampa tyuu

Nguo kuanzia mwaka 1 mpka miaka 8..... unahitaji jumla au rejareja wewe njoo na mkwanja tuu tunayajenga fasta tajiri yan...
25/02/2026

Nguo kuanzia mwaka 1 mpka miaka 8..... unahitaji jumla au rejareja wewe njoo na mkwanja tuu tunayajenga fasta tajiri yangu

Mambo yanajielezaaaa.... haihitaji kelele nyingiii
25/02/2026

Mambo yanajielezaaaa.... haihitaji kelele nyingiii

25/02/2026



Yaani mambo ni pambe mpka inaboaaaa. Njoo tajiri yangu tuyajengee. Unataka jumla au rejareja ni wewe tuu

21/02/2026

Jamani nakmba nisijieleze sanaa, kila kitu kiko open.... njoo umchukulie mtoto wako na rangi zipo k**a unavoona.



Address

Fuoni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AYAD Multistore posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share