Mitumba ya watoto-bei nafuu

Mitumba ya watoto-bei nafuu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mitumba ya watoto-bei nafuu, Baby & children's clothing store, 0625810814, Kasulu.

👖🩳Tunauza nguo za watoto za tumba-safi👗quality ya juu na bei nafuu!
💰 Bei kuanzia sh.200-5000
🚵Tunafanya delivery
🚃📦Mikoa yote Tunatuma kwa uaminifu💯
📌📞 0625810814

12/03/2026
Unataka kuanza biashara ya mtumba ila hujui  pa kuanzia?Bakia hapahapa ujifunze kwa kina,masomo yatakujia kila wakati🤝
12/03/2026

Unataka kuanza biashara ya mtumba ila hujui pa kuanzia?Bakia hapahapa ujifunze kwa kina,masomo yatakujia kila wakati🤝

11/03/2026

Hellow maboss zangu!
Karibuni mtumba bei nafuu
Nguo ni quality ila bei sasa�
�Sh.elfu 3000 tu kwa pc moja
Tunakuelekeza namna ya kupanga kwa wale wanaohitaji kuanza biashara
Namna ya kuchagua belo zuri lenye faida,namna ya kuepuka makosa ili uepuke hasara
Yote utayapata hapa usiondoke.

07/03/2026

Hellow maboss zangu karibuni katika page hii ya mitumba ya watoto bei nafuu👕👖👗
Hapa ntakufundisha mambo mengi yahusuyo biashara hiyo ya mtumba k**a ifuatavyo:
:Makosa ambayo huyafanya watu wanaofanya biashara ya mtumba
:Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kutaka kuanza biashara hii
:Namna ya kuanza na kuchagua mzigo wenye faida

Nitakufundisha hatua kwa hatua Bure ili kukwamuana kiuchumi,ninachokumba tu nilike yako ,comments zako na pale usipolewa uliza swali ili tuelewane then tuweze kuanza pamoja
Hakikisha huanzi biashara hii bila kujifunza kwanza na ntakuwa naposti Kila siku🙏

🐒📢KARIBUNI SANA!  BIASHARA MPYA YA NGUO ZA WATOTO MTUMBA👗👕      Hellow wapendea!      Tunayofuraha kuwakaribisha kwenye ...
31/07/2025

🐒📢KARIBUNI SANA!
BIASHARA MPYA YA NGUO ZA WATOTO MTUMBA👗👕

Hellow wapendea!
Tunayofuraha kuwakaribisha kwenye ukurasa wetu mpya wa Mitumba ya watoto- bei nafuu
Mahali sahihi kwa wazazi na walezi wanaotafuta nguo bora za mtumba kwa watoto kwa bei nafuu kabisa!😍

Tunauza:
Nguo za watoto rika zote(wachanga hadi miaka 10
✨Zote ni safi, zenye hali nzuri na za kuvutia

📌 Tunapatikana Sofya kasulu kigoma
📦Tunatuma mikoani pia!
➡️Like,share na follow ukurasa huu kwa bidhaa mpya Kila wiki!

Karibu sana-urembo wa mtoto wako unaanzia kwenye kuvaa vizuri na kilicho kizuri ambapo kinapatika hapa!💗

watoto nafuu
safi za watoto
na mtoto

Address

0625810814
Kasulu

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mitumba ya watoto-bei nafuu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share