15/12/2025
🚨 : WAZALENDO WACHAPA VIBAYA UKO MAKOBOLA NA LWANGA NA ZAO
Wazalendo ambao awakusaliti udongo wao, wawachapa MAKOBOLA lwanga, wapo na pigana na marambo zao walizo tumia kipindi cha vita na JOSEPH KABILA, kuna askari tayari wamesha fariki, na mdogo mdogo wanaanza kurudi nyuma….
Nia ya wazalendo kuwashambulia ni mupango waku irudisha UVIRA mu mikono yao baada ya kusalitiwa na wazalendo wamoja ambao walikuwa na aminiwa, ambao wamejiunga na , nia nyingine ambao inafanya wazalendo wawachape Ni kuchokoza udongo wa FIZI
WAZALENDO kwa sasa awategemei
YAKUTUMBA amesirika vibaya sanaaa, endelea kukaa Karibu ya page yetu ya tupo muda huu kwa mengi zaidi na ya ukweli
Huu ni muda sasa wa kuwa nyuma ya wazalendo kwa maombi zaidi, sio wote walio salitii, Bali kuna walio saliti na ambao awakusaliti…