MrLaundry Kibaha

MrLaundry Kibaha Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MrLaundry Kibaha, Dry cleaner, Ofisi: Mr Laundry, Miomboni Shule, Sheli ya Rupeez, jirani na Meru Sheli, Pwani, Tanzania., Kibaha.

🧺Huduma ya kufua nguo .Tunahakikisha nguo zako zinakua safi.

🚚 Huduma ya kuchukua na kuleta nguo zako bure,βœ…

πŸ“ Ofisi yetu iko Miomboni Shule, Sheli ya Rupeez,
karibu na sheli ya Meru

πŸ“ž :0620366874

🧺 Huduma ya Kufua Nguo Kibaha – Haraka, Safi, na Bei Rafiki! 🧺Tunajua jinsi maisha yanavyokuwa na shughuli nyingi, ndio ...
09/08/2025

🧺 Huduma ya Kufua Nguo Kibaha – Haraka, Safi, na Bei Rafiki! 🧺

Tunajua jinsi maisha yanavyokuwa na shughuli nyingi, ndio maana tunakuletea huduma ya kufua nguo kwa ufanisi wa hali ya juu, ukihifadhi nguo zako safi, laini, na zenye harufu nzuri!

🚚 Tunatoa free delivery na tunafata nguo zako popote Kibaha, ili usihangaike kuleta au kuchukua nguo zako.
🌧️ Huduma zetu zinaendelea hata kipindi cha mvua – huduma ya uhakika kwa wateja wetu.
⏱️ Huduma ya express ipo kwa ajili ya wale wanaohitaji nguo zao haraka, bila kupoteza ubora.
🧼 Pia tunatoa huduma ya kupiga pasi kuhakikisha nguo zako zinadumu na zinaonekana mpya zaidi.

Chagua Mr Laundry Kibaha kwa huduma rahisi, salama, na za kuaminika!

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: 0620 366 874
πŸ“ Ofisi yetu iko Miomboni Shule, Sheli ya Rupeez, karibu na Meru Sheli.

πŸ‘•βœ¨ Nguo zako ziko mikononi mwetu, tunahakikisha zinapata huduma ya kiwango cha juu!Huduma ya kuchukua na kuleta nguo zak...
09/08/2025

πŸ‘•βœ¨ Nguo zako ziko mikononi mwetu, tunahakikisha zinapata huduma ya kiwango cha juu!
Huduma ya kuchukua na kuleta nguo zako bure imeanza Kibaha!

πŸ”₯ PROMO YA UFUNGUZI – Punguzo la 20% kwa huduma zote! πŸ”₯
🚚 Tunatoa free delivery na tunafata nguo zako popote Kibaha!

Usisubiri nguo zikachakaa au kuchafuka zaidi, tupige simu sasa!
Usafi na huduma bora ni jukumu letu!

πŸ“ Miomboni Shule, Sheli ya Rupeez, karibu na Meru Sheli.
πŸ“ž Wasiliana nasi na ujipatie punguzo hili la kipekee!

Address

Ofisi: Mr Laundry, Miomboni Shule, Sheli Ya Rupeez, Jirani Na Meru Sheli, Pwani, Tanzania.
Kibaha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MrLaundry Kibaha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category