EdrozaKalukwa

EdrozaKalukwa CEO OF Edrozafashion & Edrozacharity
Instagram Accout .kalukwa

Poleni mliokuwa mnaniulizia na kunitafuta after a long breakHeri ya Krismasi na Mwaka mpya Marry Christmas and Happy new...
08/02/2026

Poleni mliokuwa mnaniulizia na kunitafuta after a long break

Heri ya Krismasi na Mwaka mpya

Marry Christmas and Happy new year

Maisha ni nini? Je wenzangu mkikutana na changamoto kwenye maisha mnakuwa mnafanyaje?
15/11/2025

Maisha ni nini? Je wenzangu mkikutana na changamoto kwenye maisha mnakuwa mnafanyaje?

Pole Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ , poleni wa Tanzania wangu πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ«‚πŸ«‚πŸ«‚πŸ«‚
05/11/2025

Pole Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ , poleni wa Tanzania wangu πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ«‚πŸ«‚πŸ«‚πŸ«‚

Mimi ni uzao wa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Kwetu ni πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Naipenda nchi yangu πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Ila nachukizwa sana na maovu yanayoendelea mpaka leo sijui Rafiki ...
04/10/2025

Mimi ni uzao wa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Kwetu ni πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Naipenda nchi yangu πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Ila nachukizwa sana na maovu yanayoendelea mpaka leo sijui Rafiki yangu Juliana alipo na wenzie walipo, jana usiku nimemuota k**a yupo hai sehemu

Jamani Naomba tuzidi waombea Damu ya Yesu itufunulie hii Siri nzito K**a hawapo hai tujue na K**a wapo hai tujue walipo warejee katika majukumu yao

Tunamwambia nini Clarisa? Kuwa baba yako na mama yako walipotea alafu babu yako akafa kwa msh*tuko?

Kila nikija Tanzania naogopa kupanda gari private hata kutoka Airpot nataka nipande Bus kwasababu ya Trauma yasinikute yalomkuta Juliana, hata muda mwengine naogopa kuvaa vizuri kupendeza nisije uwawa wakajua ninapesa yaani sina amani na uhuru nchini kwangu nyumbani kwetu kuliko ugenini

Ifike hatua tuamke kimwili na kiroho kuipigania nchi yetu

Stay blessed Tanzania I πŸ‡ΉπŸ‡Ώ 🀟 🫢🏽 πŸ₯°

Life πŸ•°οΈ
28/09/2025

Life πŸ•°οΈ

11/08/2025

R.I.P

To God be the GloryπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ™πŸ»

CEO OF Edrozafashion & Edrozacharity
Instagram Accout .kalukwa

Address

Kyela, Mbeya
Kyela

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255758539021

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EdrozaKalukwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to EdrozaKalukwa:

Share