Steve TheMobe

Steve TheMobe | Content Creator | Memes 😁| Entertainment | Sport's. | Tunatengeneza Poster Aina Zote Biashara,Matangazo& Nk..

Tunatengeneza Logo Za kisasa| Follow Us For More. .. (Hii Ni Back Up Account Mobetz Bland )

27/10/2025

πŸ˜πŸ˜πŸ‘‰

18/10/2025
|HISTORIA NA  SONGEA!                                                                                                   ...
18/10/2025

|HISTORIA NA SONGEA! πŸ‘‰Nduna Songea Mbano alikuwa ni shujaa aliyesimama kidete na kupinga hoja ya utawala wa Kijerumani ambao ulionekana wazi unataka kudhalilisha utawala wa kabila la Wangoni. Songea alisimama kidete na kusema waziwazi kuwa- " Wangoni hawawezi kuutambua utawala mpya wa kijerumani".

Hivyo kutokana na ujasiri wake, baada ya wajerumani kuwashinda vita kwa taabu dhidi ya Wangoni , jina lake hilo likapewa hadhi ya mji wa Songea.πŸ’― Na hii ni badala ya jina halisi la β€˜Ndonde’ mwaka 1906. Kiongozi huyo alikuwa ni miongoni mwa wasaidizi ( Nduna) 12 wa Chifu wa kabila la Wangoni (Nkosi) Chifu Mputa bin Gwezerapasi Gama. |WangoniπŸ’ͺ 🫢! "UNJANI"? 🀝 imeandandaliwa na Mobetz Bland πŸ”₯

Address

Sokoni
Mafinga
51101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Steve TheMobe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share