Nawisa Fashionable shoes store

Nawisa Fashionable shoes store Hatukuuzii viatu tu, tunakuuzia ujasiri na urembo๐Ÿ’ซ Jipatie High heels, Raba &Flat shoes za kisasa kwa bei nafuu. Tunatuma mizigo popote ulipo.

Bofya link au kitufe cha whatsap kuagiza sasa๐Ÿ›’https://wa.me/message/E2R64LSIFX5PO1

Darasa, Utulivu, na Urembo kwenye kiatu kimoja! ๐Ÿ˜๐Ÿ‘  Mzigo mpya wa High Heels umeingia stoo, chagua rangi inayoendana na m...
13/08/2026

Darasa, Utulivu, na Urembo kwenye kiatu kimoja! ๐Ÿ˜๐Ÿ‘  Mzigo mpya wa High Heels umeingia stoo, chagua rangi inayoendana na miguu yako.

SIZE: 36-41
BEI: 45000

๐Ÿšš Tunafanya delivery popote ulipo kwa uaminifu mkubwa!
๐Ÿ“ฒ WhatsApp: 0781-599257

Ukiingia ukumbini, wacha viatu viongee! ๐Ÿ”ฅ Hizi High Heels ni maalum kwa wale wote wanaopenda kuonekana tofauti kwenye mi...
13/08/2026

Ukiingia ukumbini, wacha viatu viongee! ๐Ÿ”ฅ Hizi High Heels ni maalum kwa wale wote wanaopenda kuonekana tofauti kwenye mitoko yao. Mzigo ni mchache sana, wahi size yako mapema kabla hazijaisha!
SIZE: 36-41
๐Ÿ’ฐ BEI: ni Tsh 45000tu.

๐Ÿ“ฒ Tucheki kupitia WhatsApp link https://wa.me/message/E2R64LSIFX5PO1
nikutumie mzigo wako sasa hivi."

Miguu yako inastahili heshima! ๐Ÿ‘ โœจ Pendeza na hizi High Heels kali kutoka Nawisa Fashionable shoes store . Ziko comfortab...
13/08/2026

Miguu yako inastahili heshima! ๐Ÿ‘ โœจ Pendeza na hizi High Heels kali kutoka Nawisa Fashionable shoes store . Ziko comfortable sana na zinakupa ule muonekano wa kishua mwanzo mwisho.

๐Ÿ“ SIZE: 36-41
๐Ÿ’ฐ BEI: Tsh 45000

Tucheck kupitia whtsap no: 0781-599-257

๐Ÿ“ŒMzigo unakufikia mpaka mlangoni na tunakuhakikishia uaminifu wa 100%! Karibuni sana๐Ÿ™

Viatu vinaongea kabla hujasalimia watu! ๐Ÿ˜Ž Chagua High Heels za kijanja kuongeza thamani ya muonekano wako leo. Rangi zot...
12/08/2026

Viatu vinaongea kabla hujasalimia watu! ๐Ÿ˜Ž Chagua High Heels za kijanja kuongeza thamani ya muonekano wako leo. Rangi zote kali zipo.
SIZE: 37-41
BEI: 45,000/=

๐Ÿšš Delivery ipo! WhatsApp/Call: 0781599257

https://wa.me/message/E2R64LSIFX5PO1

โœจ Kiatu kizuri ndiyo siri  ya kujiamini๐Ÿ‘ ! Pendeza na hizi High Heels mpya... Mzigo ni mchache sana, wahi size yako mapem...
10/08/2026

โœจ Kiatu kizuri ndiyo siri ya kujiamini๐Ÿ‘ ! Pendeza na hizi High Heels mpya... Mzigo ni mchache sana, wahi size yako mapema.

๐Ÿ“ Size: 37-41
๐Ÿ’ฐ Bei: Tshs. 25,000/=

CALL/TEXT/WHATSAP NO: 0781599257

๐Ÿ‘‡ Bofya link yetu ya **WhatsApp** hapo chini au tutumie meseji tukuhudumie chap!

https://wa.me/message/E2R64LSIFX5PO1

๐Ÿ‘ Mzigo wa Moto Umewasili! Classy, za kisasa, na bei ni rafiki. Fanya maamuzi sahihi kwa muonekano wako leo. Zipo tayari ...
09/08/2026

๐Ÿ‘ Mzigo wa Moto Umewasili!
Classy, za kisasa, na bei ni rafiki. Fanya maamuzi sahihi kwa muonekano wako leo. Zipo tayari kukufikia ulipo.

๐Ÿ‘‰ SIZE zilizopo: 37-41
๐Ÿ‘‰ BEI: TShs. 25,000/=

Call : 0781599257
Whtso no: 0781599257

Bofya link yetu hapa chini kunitumia meseji haraka!

๐Ÿ‘Ÿ Raba kali za kijanja zimetua! ๐Ÿ”ฅ Muonekano wa kisasa, nyepesi mguuni, na zinapendeza ukitupia na pamba yoyote ya mtoko....
09/08/2026

๐Ÿ‘Ÿ Raba kali za kijanja zimetua! ๐Ÿ”ฅ

Muonekano wa kisasa, nyepesi mguuni, na zinapendeza ukitupia na pamba yoyote ya mtoko. Usikubali kupitwa na hii staili mpya!

๐Ÿ“ SIZE: 37,38,39,40,41,42
๐Ÿ’ฐ BEI: Tsh.40,000

๐Ÿ‘‡ Bofya Link ya kuchart nasi WhatsApp hapa chini kuweka oda yako mapema

https://wa.me/message/E2R64LSIFX5PO1

๐Ÿšจ Mzigo mpya wa Sneakers! ๐Ÿ‘Ÿ๐Ÿ”ฅZipo chache na zinatoka kwa kasi sana. Jipatie raba imara, za kisasa, na kwa bei rafiki kabi...
09/08/2026

๐Ÿšจ Mzigo mpya wa Sneakers! ๐Ÿ‘Ÿ๐Ÿ”ฅ

Zipo chache na zinatoka kwa kasi sana. Jipatie raba imara, za kisasa, na kwa bei rafiki kabisa. Wahi saizi yako kabla hazijaisha.

๐Ÿ‘‰ SIZE zilizopo : 35,36 na 37
๐Ÿ‘‰ BEI: Tsh.20,000/=

Wasiliana nasi kupitia wtsap no: 0781599257

Bofya link ya WhatsApp hapa chini uagize nasi

https://wa.me/message/E2R64LSIFX5PO1

09/08/2026

๐ŸŒŸ Tembea kwa kujiamini, acha viatu viongee! ๐Ÿ‘ 

High heels mpya, imara na za kuvutia sana zimeshuka dukani. Zimeundwa kukupa muonekano wa hadhi na kukufanya ung'ae kila hatua.

๐Ÿ“ SIZE: 37 - 41]
๐Ÿ’ฐ BEI : Tsh. 25,000/=
๐Ÿ›ตDELIVERY: kwa watu wa Dar es salaam unaletewa hadi mlangoni kwako na kwa watu wa mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa na kwa uhakika.

๐Ÿ‘‡ Wahi saizi yako! Bofya link yetu hapa chini kuweka oda sasa.

https://wa.me/message/E2R64LSIFX5PO1

Hatukuuzii viatu tu, tunakuuzia ujasiri na urembo๐Ÿ’ซ Jipatie High heels, Raba &Flat shoes za kisasa kwa bei nafuu. Tunatuma mizigo popote ulipo. Bofya link au kitufe cha whatsap kuagiza sasa๐Ÿ›’https://wa.me/message/E2R64LSIFX5PO1

04/08/2026

Simama kwa kujiamini na tembea kwa madaha!๐Ÿ‘ ๐ŸŒŸ

Mzigo mpya wa high heels kali kwa ajili ya sherehe, send off, na mitoko ya kifahari umewasili. Viatu hivi vimeundwa kukupa muonekano wa kishua huku vikikuweka vizuri.
๐Ÿ“ŒSIZE: 36-41
๐Ÿ“ŒBEI: Tsh. 30,000/=

Bofya link yetu hapa chini kuweka oda yako

https://wa.me/message/E2R64LSIFX5PO1

Address

Vikindu
Mkuranga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nawisa Fashionable shoes store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share