30/07/2026
Matumizi ya Turmeric Body Scrub Bath Cream
✨ Husaidia kuondoa seli zilizokufa (dead skin cells) na kuifanya ngozi iwe laini na nyororo.
✨ Husaidia kusafisha ngozi kwa kina na kuondoa uchafu uliokusanyika kwenye vinyweleo.
✨ Husaidia kuboresha mwonekano wa ngozi iliyochoka na kuifanya ionekane yenye mng’ao wa asili.
✨ Husaidia kupunguza ukavu na kuifanya ngozi iwe laini baada ya matumizi.
✨ Ina Turmeric (manjano), kiambato kinachojulikana kwa kusaidia kuboresha mwonekano wa ngozi na kuifanya ionekane yenye afya.
Jinsi ya kutumia:
* Lowanisha mwili kwa maji.
* Pakaa scrub kwenye ngozi yenye unyevunyevu.
* Sugua taratibu kwa mizunguko kwa dakika 2–3, ukizingatia maeneo k**a magoti, viwiko na visigino.
* Osha kwa maji safi.
Inafaa kwa:
✅ Ngozi ya kawaida.
✅ Ngozi yenye ukavu.
✅ Wanaume na wanawake.
JUMLA 10000 kuanzia pcs 3
REJA 15000