Mpira Mtamu live

Mpira Mtamu live Mpira Live

Simba SC na Wydad AC zimefikia makubaliano ya Mwalimu kuendelea kuitumikia klabu ya Msimbazi kwa mkopo wa msimu mmoja za...
15/07/2026

Simba SC na Wydad AC zimefikia makubaliano ya Mwalimu kuendelea kuitumikia klabu ya Msimbazi kwa mkopo wa msimu mmoja zaidi.

Mshambuliaji huyo ameonyesha kiwango bora tangu ajiunge na Simba, akifunga mabao 15, jambo lililowashawishi viongozi wa klabu kuongeza muda wa ushirikiano wake.

Hatua hiyo ni nyongeza kubwa kwa Simba kuelekea maandalizi ya msimu mpya.

|| TAARIFA Kutoka Afrika Kusini zinaeleza Keletso Makgalwa Winger wa Sekukhune United ameshamalizana na Simba SC, Wakizi...
14/07/2026

|| TAARIFA Kutoka Afrika Kusini zinaeleza Keletso Makgalwa Winger wa Sekukhune United ameshamalizana na Simba SC, Wakizipiku Klabu ya Yanga na Kaizer Chiefs, Na atawasili Tanzania wiki Ijayo.

Source: Lorenz Köhler

.... 🚨 | 𝐑𝐄𝐒𝐓 𝐈𝐍 𝐏𝐄𝐀𝐂𝐄 π‰π€π˜πƒπ„ππŸš¨BREAKING:          Nyota wa Mamepodi na timu ya taifa ya South Africa,Jayden Adams (25) am...
14/07/2026

.... 🚨 | 𝐑𝐄𝐒𝐓 𝐈𝐍 𝐏𝐄𝐀𝐂𝐄 π‰π€π˜πƒπ„π

🚨BREAKING:
Nyota wa Mamepodi na timu ya taifa ya South Africa,Jayden Adams (25) amefariki dunia leo.

Kiungo huyo amefariki dunia siku chache baada ya kushiriki fainali za kombe la Dunia,Marekani.

....🚨| ππƒπˆπŽ ππ€π’πˆ 𝐓𝐄𝐍𝐀 Mbavu ya kulia ya Yanga SC, Israel Mwenda, anasaka chaka jipya kuelekea msimu wa 2026/27Mwenda ame...
14/07/2026

....🚨| ππƒπˆπŽ ππ€π’πˆ 𝐓𝐄𝐍𝐀

Mbavu ya kulia ya Yanga SC, Israel Mwenda, anasaka chaka jipya kuelekea msimu wa 2026/27

Mwenda amepoteza namba kikosi cha kwanza mbele ya Yao na Kibwana Shomary, taarifa ikieleza ni kutokana na BOKO la Kariakoo Derby

Tayari Yanga wameingia sokoni kuziba nafasi yake

Jayden Adams alikuwa bado anaomboleza kifo cha rafiki yake mkubwa Oshwin Andries ambaye aliuawa kwa kuchomwa kisu miaka ...
14/07/2026

Jayden Adams alikuwa bado anaomboleza kifo cha rafiki yake mkubwa Oshwin Andries ambaye aliuawa kwa kuchomwa kisu miaka michache iliyopita.

Leo wameungana tena mbinguni. πŸ•Š

Jamaa Amejinyonga Akiwa BafuniπŸ˜’πŸ’”

🚨EXCLUSIVE KILICHOTOKEA LEO (USAJILI WA CHUGA BOY)πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ: Baada ya kambi ya timu ya taifa ya Tanzania ya U20 kuvunjwa pale...
14/07/2026

🚨EXCLUSIVE KILICHOTOKEA LEO (USAJILI WA CHUGA BOY)πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ:

Baada ya kambi ya timu ya taifa ya Tanzania ya U20 kuvunjwa pale TFF Center, kiongozi wa Fountain Gate alikwenda kumfuata Issa Abushiri β€œChuga Boy” ili kuanza maandalizi ya mwisho ya safari yake ya kwenda Ubelgiji, baada ya klabu ya KAA Gent kulipia tiketi zote za ndege kwaajili ya majaribio.

Hata hivyo, mambo yamekuwa tofauti! Chuga Boy amegoma kuondoka na kiongozi huyo, akidai kuwa tayari ameshamalizana na Young Africans (Yanga SC) kwa makubaliano ya mkataba wa miaka mitatu (3).

Katika makubaliano hayo na Yanga, Chuga Boy anapewa Tsh. Milioni 90 k**a pesa ya usajili (Sign-on fee) na mshahara wa Tsh. Milioni 5 kwa mwezi.

Hatua inayofuata sasa ni mchezaji huyo kuandika barua rasmi ya kuomba kuondoka Fountain Gate, huku Yanga wakitakiwa kulipa Tsh. Milioni 100 k**a kipengele cha kuvunja mkataba wake (Release Clause).

Taarifa zinasema viongozi wa KAA Gent ya Ubelgiji hawajafurahishwa kabisa na namna kiongozi huyo wa Fountain Gate alivyoshindwa kusimamia makubaliano na mipango yote waliyoweka tangu mwanzo.

Mtu wa karibu na Chuga Boy (achana na pinned post yake ya pili), ambaye Yanga walimsafirisha kutoka Arusha hadi Dar es Salaam akiwa na nakala ya mkataba

Amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumshawishi kijana huyo kubadili mawazo, licha ya kwamba awali alikuwa anataka kuondoka Fountain Gate kwa heshima na baraka zote kufanikisha kufanya majaribio

CELESTINE ECUA DUDU WASHA πŸ™ŒπŸ”₯πŸ”°Ni winga hatari sana na niliamini atafanya makubwa sana akiwa na Yanga SC πŸ™ŒπŸ”₯ Nilijua pengo ...
14/07/2026

CELESTINE ECUA DUDU WASHA πŸ™ŒπŸ”₯πŸ”°

Ni winga hatari sana na niliamini atafanya makubwa sana akiwa na Yanga SC πŸ™ŒπŸ”₯

Nilijua pengo la Clement Mzize limepata mchezaji sahihi kabisa πŸ™ŒπŸ”₯

Lakini sijui ni nini kilimkuta huyu Dudu washa na akashindwa kabisa kuishi kwenye utu wa mgongo wa kikosi cha Yanga SC uwanjani πŸ™ŒπŸ”₯

🚨 Yanga SC wanajiandaa kufanya jaribio moja kubwa na hili sio lingine ni la kumsajili winga wa Klabu ya Azam FC Iddy Nad...
14/07/2026

🚨 Yanga SC wanajiandaa kufanya jaribio moja kubwa na hili sio lingine ni la kumsajili winga wa Klabu ya Azam FC Iddy Nado.

Yanga SC wanamuhitaji Iddy Nado na wanaamini wana ushawishwi mkubwa wa kumpata.

Je abakie ndani ya Azam FC ama ajiunge na Yanga SC

🚨 ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Makubaliano kati ya benchi la ufundi la Simba SC lililopo chini ya kocha Steve Barker πŸ‡ΏπŸ‡¦ na viongozi wa juu ...
14/07/2026

🚨 ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Makubaliano kati ya benchi la ufundi la Simba SC lililopo chini ya kocha Steve Barker πŸ‡ΏπŸ‡¦ na viongozi wa juu zaidi wa Simba SC ni kuendelea na huduma ya golikipa Djibrilla Kassali (30) kuelekea msimu ujao! πŸ‡³πŸ‡ͺβ€οΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Benchi la ufundi la Simba SC limekubali kufanya kazi zaidi na golikipa wao Djibrilla Kassali kwa msimu wa 2025-26 na uongozi wa Simba SC uliwapa benchi la ufundi machaguo kwa kubaki na golikipa huyo au kutafuta golikipa mwingine lakini wamechagua kufanya nae kazi.

Djibrilla Kassali bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Simba SC utakaomalizika 2027 kwakuwa alisaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu. πŸ”πŸ¦

πŸ“ŒπŸ“ŒNyota wa zamani wa simba Kibu denis prosper anahitajika Algeria πŸ“ŒπŸ“ŒKlabu ya CR Belouizdad ya Algeria imetuma ofa ya $40...
14/07/2026

πŸ“ŒπŸ“ŒNyota wa zamani wa simba Kibu denis prosper anahitajika Algeria πŸ“ŒπŸ“Œ

Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria imetuma ofa ya $400,000 (tsh 1,053,999,200) kwenda Al-Nasr ili kuinasa saini ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania,Kibu Dennis (25) je itawezekana??? Tusubiri tuone

Al-Nasr wanataka $500,000 ili kufanya biashara nao dirisha la usajili mambo yanapambana moto sana, huku ama kule utachagua wewe,

Address

157 Busega
Bariadi
39000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpira Mtamu live posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share