Dotto ngailo

Dotto ngailo karibuni Sana wateja wangu nauza nguo na vitu vingine ukiitaji chochote nitafute utaletewa popote ul

19/11/2025
19/11/2025
02/10/2025

K**a litakufaa kaa nalo moyoni lifanyie kazi

24/09/2025

Kimtesacho mtu ni dhambi zake mwenyew

24/09/2025

Sikia hapo upate kitu

Mchezaji mpira mmoja hivi? Alikuwa anaitaji kumpiga kiss mpenzi wake uwanjani lkn sasa ni  mfupi basi rafiki yake alijit...
01/08/2025

Mchezaji mpira mmoja hivi? Alikuwa anaitaji kumpiga kiss mpenzi wake uwanjani lkn sasa ni mfupi basi rafiki yake alijitolea kumnyanyua ili ampe kiss mpenzi wake alimnyanyua na kumbus mpenzi wake je wewe uli wahi kumsaidia rafiki yako, ungeweza kufanya hivyo pia.

Mchezaji mmoja hivi alikuwa anaitaji kumbusu mchumba wake sasa alikuwa mfupi basi ikabidi aje rafiki yake ampige tafu ku...
01/08/2025

Mchezaji mmoja hivi alikuwa anaitaji kumbusu mchumba wake sasa alikuwa mfupi basi ikabidi aje rafiki yake ampige tafu kumnyanyua juu na kumkiss mpenzi wake je wewe unaweza kufanya hivyo kutoa msaada kwa rafiki yako

Happy Birthday my son nakupenda sana chautundu wangu uishi maisha marefu zaidi mungu akukuze uwe na hofu ya mungu moyoni...
31/07/2025

Happy Birthday my son nakupenda sana chautundu wangu uishi maisha marefu zaidi mungu akukuze uwe na hofu ya mungu moyoni mwako

Karibuni biashara k**a unaitaji vijora kwaajiri ya sherehe Kichen paty sare zipo toa oda yako tuh vijora pambe no hizo 0...
31/07/2025

Karibuni biashara k**a unaitaji vijora kwaajiri ya sherehe Kichen paty sare zipo toa oda yako tuh vijora pambe no hizo 0620888695 karibuni sana tupo makambo mtaa wa mlando

Mwenye jina A kajibu yeye anashida na hela tuh na sio kingine, na watu wa mitandaoni amewapa sheet moja hatar mumuache n...
31/07/2025

Mwenye jina A kajibu yeye anashida na hela tuh na sio kingine, na watu wa mitandaoni amewapa sheet moja hatar mumuache na mambo yake anawajua sana

Davido kimemnasa leo fumanizi na mdada jessie awaz afumaniwa walikuwa na vikao visivyo isha hotelini kumbe ni mchepuko w...
30/07/2025

Davido kimemnasa leo fumanizi na mdada jessie awaz afumaniwa walikuwa na vikao visivyo isha hotelini kumbe ni mchepuko wako bhn anamlipa milioni 25 pia amemlipia biashara zake pesa za kutosha yaaaan wanaume changamoto chioma huruma duh ila naamini chioma atamsamehe mume wake coz anampenda sana sema ngoja tuone itakuwaje

Address

Makambako
Njombe
NJOMBE2164

Telephone

+255752797408

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dotto ngailo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dotto ngailo:

Share