Fahari_african fashion

Fahari_african fashion Turning πŸ‘— into confidence πŸ’ƒ
Made in πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
πŸ“©Order here : https//wa.me/255769125342

FAIDA ZA KUJIFUNZA USHONAJI πŸ§΅βœ‚οΈWatu wengi huona ushonaji k**a kazi ya kushona nguo tu, lakini ukweli ni kwamba ushonaji ...
08/07/2026

FAIDA ZA KUJIFUNZA USHONAJI πŸ§΅βœ‚οΈ

Watu wengi huona ushonaji k**a kazi ya kushona nguo tu, lakini ukweli ni kwamba ushonaji ni ujuzi unaoweza kubadilisha maisha.

βœ… Unakupa kipato. Unaweza kushona nguo za wateja, kufanya marekebisho ya nguo, au kuuza bidhaa ulizotengeneza.

βœ… Unajiajiri. Huhitaji kusubiri kuajiriwa. Ukiwa na ujuzi na vifaa vya kuanzia, unaweza kuanzisha biashara yako mwenyewe. kwenye ushonaji hata k**a unapiga overlock tu, hulali njaa.

βœ… Unapunguza matumizi. Unaweza kushona nguo zako na za familia yako badala ya kununua kila wakati.

βœ… Una nafasi ya kukua. Unaweza kuanzia nyumbani na baadaye kufungua duka, studio, au hata hata baadae ukapata wanafunzi na maisha yakaendelea

βœ… Ujuzi huu haupitwi na wakati. Mahitaji ya nguo na huduma za ushonaji yapo kila siku, hivyo fursa za kazi huendelea kuwepo.

Kumbuka, mafanikio hayaanzi na kuwa na kila kitu. Huanza na uamuzi wa kujifunza.
Tupigigie 0769125342 Kujiunga na mafunzo ya ushonaji.

04/07/2026

😍 Jifunze kukata kola ya gauni kwa njia rahisi!
🀭 Ila kuna sehemu kwenye video nilisema "shingo" badala ya "kola." Umeigundua?
Je, wewe huwa unaiitajeβ€”shingo au kola? πŸ˜„ Tuambie kwenye comments.

Mary Mtali Asia Mkiligi Gwakisa Ngungulu Neema Ngungulu

suruali ya kiume? je umeelewa??πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ’―βœ”οΈβœ”οΈ
29/06/2026

suruali ya kiume? je umeelewa??πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ’―βœ”οΈβœ”οΈ

26/06/2026

Tunapokea wanafunzi wapya wanaotaka kujifunza ushonaji wa kitaalamu!

🧡 Ada ya masomo: TSh 150,000 kwa mweziβœ‚οΈ Ada ya vifaa: TSh 100,000
aneanza kabisa miez sita
anaejiendeleza miez mitatu

πŸ“ Tunapatikana Tabora Mjini, Tanzania.

πŸ“² Kwa maelezo zaidi au kujiunga, WhatsApp: 0769 125 342

Karibu Fahari Fashion Academy ujifunze ujuzi utakaokusaidia kujiajiri na kujenga ndoto zako.


Neema Ngungulu Mary Mtali Asia Mkiligi

"we created you in pairs "πŸ₯°πŸ™πŸ’―βœ”οΈπŸ‘Œlove os indeed beautiful πŸ‘Œβœ”οΈ
22/06/2026

"we created you in pairs "πŸ₯°πŸ™πŸ’―βœ”οΈπŸ‘Œ
love os indeed beautiful πŸ‘Œβœ”οΈ

20/06/2026

πŸŽ‚βœ¨ Birthday dress loading...βœ¨πŸŽ‚
Hivi ndivyo vifaa nitakavyotumia kushona gauni langu la birthday. 😍❀️
Je, wewe ungependa nilishone kwa style gani? πŸ‘— A. A shapeπŸ§œβ€β™€οΈ B. Tight πŸ‘‘ C. solo na je? dats za kawaida au corset? niambie hapo kwenye coment
πŸ’– Unatamani kujifunza kushona na kutengeneza nguo za ndoto zako? Karibu Fahari Fashion, tunafundisha kuanzia beginner hadi advanced.
πŸ“© Tuma ujumbe Whatsapp 0769125342kupata maelezo ya kujiunga.

20/06/2026

πŸ‘–βœ‚οΈ Jifunze jinsi ya kushona suruali hatua kwa hatua kwa urahisi! Hata k**a wewe ni beginner, unaweza kufuata maelekezo haya na kutengeneza suruali nzuri ya mtoto 😍
vipimo ni urefu 17, hips 26.
suruali ni ya lastic.
k**a una swali uliza hapo kwenye coment @
Je, ungependa kujifunza ushonaji kitaalamu? Karibu Fahari Fashion kwa mafunzo ya vitendo yatakayokusaidia kujiajiri na kutimiza ndoto zako. ❀️
πŸ“Œ Like β€’ Comment β€’ Share
Neema Ngungulu Zaituni Sallum Sophia Edwin Mwakisombole Asia Mkiligi Happy Mwalongo

Waefeso 5:25 ni mstari mzuri sana wa kukumbusha Wanaume kuwa, upendo wa mume kwa mke wake unapaswa kuwa wa kujitoa, wa k...
19/06/2026

Waefeso 5:25 ni mstari mzuri sana wa kukumbusha Wanaume kuwa, upendo wa mume kwa mke wake unapaswa kuwa wa kujitoa, wa kujali, na wa kumthamini mke wake, k**a vile Kristo alivyolipenda Kanisa. Kristo alijitoa sadaka kwa ajili ya kanisaπŸ™πŸ™. lakini pia wanawake wamaelekezwa kuwatii waume zao! unaweza soma waefeso 5:25-33 kujifunza zaidi.πŸ₯°πŸ₯°
Enyi waume, wapendeni wake zenu, k**a Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake.”( waefeso 5:25)
Lakini kila mtu na ampende mkewe k**a nafsi yake mwenyewe; naye mke na amheshimu mumewe.”
( Waefeso 5:33 )
Kaka angu kaka Isaya, sina shaka na wewe kuhusu hili wala sina shaka na wifi yangu kipenzi😍πŸ₯°
swali; Hivi mlishawahi ona mwanamke anapendwa k**a Kristo alivyolipenda kanisa halafu yeye akawa hamtii mumewe?πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Tafadhali share uzoefu wako hapo kwenye comentπŸ˜πŸ™
dress πŸ‘—

Address

Shule Street
Tabora

Opening Hours

Monday 09:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 19:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fahari_african fashion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share