Micky Junior

Micky Junior Micky Junior from Tanga Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ..

20/02/2026
22/11/2025

Arrow πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Mimi naanza πŸ‘‰ "BATISTUTA" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
25/10/2025

Mimi naanza πŸ‘‰ "BATISTUTA" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

G..O..A..T πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘½
25/10/2025

G..O..A..T πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘½

25/10/2025

Duhh! hili Game la eFootball ni balaa, hawa konami si watuwekee yule Jose mourinho tumnunue kwa Coins wakuu au mnasemaje??

Dahh!! KONAMI wanaroho mbaya asee dahh! nilikuwa nimebakiza mechi moja niende zangu Division 2 wakaniletea huyu jamaa si...
25/10/2025

Dahh!! KONAMI wanaroho mbaya asee dahh! nilikuwa nimebakiza mechi moja niende zangu Division 2 wakaniletea huyu jamaa sijui ni Agent wao😒

Hata K**a Mama yako ni Mlevi, Kilema,Kichaa au hajasoma lakini muheshimu sana na umuombee kheri βœ¨πŸŽ‰ na Rehma kwa Mwenyezi...
11/05/2025

Hata K**a Mama yako ni Mlevi, Kilema,Kichaa au hajasoma lakini muheshimu sana na umuombee kheri βœ¨πŸŽ‰ na Rehma kwa Mwenyezi Mungu aendelee kumpa masiha marefuπŸ’

HAPPY MOTHER'S DAY πŸŽ‰πŸŽ‰

Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Znz ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais wa Zanzibar Charles Hillary, a...
11/05/2025

Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Znz ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais wa Zanzibar Charles Hillary, amefariki alfajiri ya leo May 11 2025 katika Hospitali ya Mloganzila, alikokuwa akipatiwa matibabu.

Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar Mhandisi Zena Ahmed Said, amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kutoa pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki wote walioguswa na msiba huu.

Charles Hillary ni miongoni mwa Watangazaji bora wa Redio na Televisheni Nchini Tanzania ambaye amefanya kazi katika vituo mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania ikiwemo Radio One na ITV, BBC London na AzamTV.

Mnyama kaandaliwa vipigo viwili vikubwa kabla msimu haujaisha huwezi amini wachezaji huko avic town wanapewa ahadi na ma...
11/05/2025

Mnyama kaandaliwa vipigo viwili vikubwa kabla msimu haujaisha huwezi amini wachezaji huko avic town wanapewa ahadi na matajiri kwa aajili ya kuwashona goli za kutosha mnyama....

NB :Ukianfollow kumbuka kuondoka na comment yako unamuachia nani sasa...
LOOOOOH HUESHIMU HATA MWEZI UNATUKANA KOBE MKUBWA WEWE.. πŸ™ŒπŸ™Œ
Ndo nishasema sasa NIUWENIII...

Maisha yamerahisishwa sana kwa sasa k**a una mtaji mdogo na huwezi kuja china direct usihangaike sisi ni kazi yetu kuhakikisha tunasafirisha mzigo wako kwa haraka na Usalama zaidi kwa gharama nafuu sana air.cargo .

Powered by
.fursa_office_furnitures

πŸ“ž πŸ‡¨πŸ‡³ +86 134 3434 6715
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ +255 689 826 697

πŸ‡¨πŸ‡³ εΉΏε·žεΈ‚θΆŠη§€εŒΊδΈ‰ε…ƒι‡Œε€§ι“499-523ε·δΌη¦ζœθ£…εŸŽ2A19ι“Ί
13265517961
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Ndanda & Muhonda street kariakoo, Dar es salaam

Address

Please Follow My Page To Best Life
Tanga

Telephone

+255694841718

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Micky Junior posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Micky Junior:

Share