14/02/2026
π₯ MASHINE IMEWAKA! π₯
Nyota wa Simba Sports Club, Anicet Oura, sasa amefikisha magoli 2 katika michuano ya CAF Champions League πͺβ½
Cha kushangaza zaidi? Magoli hayo yanamfanya awe na idadi sawa na timu nzima ya Young Africans Sports Club (Yanga) ambao tangu waingie hatua ya makundi wamefunga magoli 2 pekee! π³
π₯ Oura peke yake = Yanga yote kwenye hatua ya makundi!
Hii ndiyo impact ya mshambuliaji mwenye njaa ya mabao!
Una maoni gani kuhusu kiwango chake? ππ