Kangaweartz

Kangaweartz Seller of Kanga from Mombasa,Oman &Zanzibar. Also we have Masai Shukas/sheets

16/05/2026
16/05/2026

Harakati za kutafuta pesa tupo Artisan market hapa Little Theatre nyuma ya St. Peters Church, Dar.

Karibu tuna showcase baadhi ya bidhaa zetu. Ambazo ni kanga na bidhaa zilizotengenezwa na kanga.
Duka letu pia lipo wazi,
📍Tupo Savei – Kontena Jekundu, 6 Tupendane Street karibu na Mlimani City, Dar es Salaam.

📞0715131972

🚚 Tunafanya delivery ndani na nje ya Dar es Salaam (Mteja analipia).

Wateja wa Mikoani mizigo italipiwa na usafiri pia ndio mzigo utatumwa.

⏰ Muda wa kazi: Jumatatu–Jumamosi | Saa 3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni

📞 Simu ya Dukani: 0620 131 972

Karibu uchague moja ya kanga hizi kubwa za Zanzibar.Pata yako kwa reja reja ni 21,000 na jumla kuanzia 3 ni 19,500. Usis...
15/05/2026

Karibu uchague moja ya kanga hizi kubwa za Zanzibar.
Pata yako kwa reja reja ni 21,000 na jumla kuanzia 3 ni 19,500. Usisite kuwasiliana nasi🤗.

📍Duka lipo Savei Kontena Jekundu, 6 Tupendane Street karibu na Mlimani City.

📦Mkoani pia tunatuma kwa gharama ya mteja.
Unauchaguzi Wa kufanyiwa delivery au kutembelea dukani kwetu.

📞Call/WhatsApp namba ya dukani :+255620131972

⏰ Muda wa kazi: Jumatatu–Jumamosi | Saa 3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni

📞 Simu ya Dukani: 0620 131 972

Mwezi Maya ukaendelee kukupa hari ya kufanya kazi kwa bidii💪 Kwa mahitaji ya kanga na baadhi ya bidhaa zilizotengenezwa ...
15/05/2026

Mwezi Maya ukaendelee kukupa hari ya kufanya kazi kwa bidii💪

Kwa mahitaji ya kanga na baadhi ya bidhaa zilizotengenezwa na kanga. Tupo kuwahudumia kupata kanga kutoka Mombasa, Oman na Zanzibar.

📍Tupo Savei – Kontena Jekundu, 6 Tupendane Street karibu na Mlimani City, Dar es Salaam.

📞0715131972

🚚 Tunafanya delivery ndani na nje ya Dar es Salaam (Mteja analipia).

Wateja wa Mikoani mizigo italipiwa na usafiri pia ndio mzigo utatumwa.

⏰ Muda wa kazi: Jumatatu–Jumamosi | Saa 3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni

📞 Simu ya Dukani: 0620 131 972

14/05/2026

Karibu ujipatie kanga hizi za Mombasa bei kwa moja ni Tsh 24,000 /= na bei ya jumla ni Tsh 22,000/=(kuanzia 3).

Hazina maneno, ni vipande viwili na ni cotton🤗.

📍Tupo Savei – Kontena Jekundu, 6 Tupendane Street karibu na Mlimani City, Dar es Salaam.

📞0715131972

🚚 Tunafanya delivery ndani na nje ya Dar es Salaam (Mteja analipia).

Wateja wa Mikoani mizigo italipiwa na usafiri pia ndio mzigo utatumwa.

⏰ Muda wa kazi: Jumatatu–Jumamosi | Saa 3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni

📞 Simu ya Dukani: 0620 131 972

13/05/2026

Asante sana wote mnao endelea kufuatilia akaunti hii ya .
Kwa kanga kutoka Mombasa, Oman na Zanzibar. Pia mashuka ya Kimasai na Makenzie usisite kuwasiliana nasi🤗

Bei zetu ni k**a ifuatavyo:

1. Kanga za Mombasa:reja reja ni 21,000 na jumla kuanzia kanga 3 ni 19,000. Pia kuna za reja reja 24,000 na bei ya jumla 22,000 kuanzia kanga 3.

-Kuna kanga za Mombasa zilizo kwenye sale/punguzo la bei kuna za 15,000, 17,000,19,000 na 22,000.

2. Kanga za Zanzibar kubwa :reja reja ni 21,000 na jumla kuanzia 3 ni 19,500.
-Kuna kanga size ya Kati: reja reja ni 17,000 na jumla kuanzia 3 ni 15,000.
-Kanga za Zanzibar ndogo: reja reja ni 13,000 na jumla kuanzia 3 ni 10,000.

3. Kanga za Oman: reja reja ni 25,000 na jumla kuanzia kanga 3 ni 23,000. Kuna iliyo kipande kimoja kikubwa na kuna yenye vipande viwili nayo ni kubwa. Zote ni cotton laini na hazina maneno.

4. Shuka la kimasai moja ni 17,000 na bei ya jumla 13,000 kuanzia mashuka matatu.

5. Makenzie ni 15,000.

6. Vipepeo/hand fan 15,000

7.Bookmarks za kanga 7,000

8.Notebooks zilizofunikwa kwa kanga ndogo-12, 000 na kubwa 15,000.

9. Diaries za 2026 zilizo nakshiwa na kanga zipo kwenye bei ya punguzo ya Tsh. 13,000/=.

Tafadhali chagua bidhaa upendazo na tutajipanga zikufikie/delivery au kutembelea dukani kwetu.

📍Tupo Savei – Kontena Jekundu, 6 Tupendane Street karibu na Mlimani City, Dar es Salaam.

🚚 Tunafanya delivery ndani na nje ya Dar es Salaam (Mteja analipia).

Wateja wa Mikoani mizigo italipiwa na usafiri pia ndio mzigo utatumwa.

⏰ Muda wa kazi: Jumatatu–Jumamosi | Saa 3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni

📞 Simu ya Dukani: 0620 131 972

Happy Mother's day/Heri ya siku ya Mama duniani🤗. Hapa  tuna jumuika na jamii yote kushukuru uwepo wa Mama katika famili...
10/05/2026

Happy Mother's day/Heri ya siku ya Mama duniani🤗.

Hapa tuna jumuika na jamii yote kushukuru uwepo wa Mama katika familia, jamii zetu. Bila kusahau walezi wa aina moja au nyingine ambao walisimama au wanaendelea kuwa km Mama kwenye malezi ya watoto katika jamii zetu😍🙏.

Kwa mahitaji ya kanga na baadhi ya bidhaa zilizotengenezwa na kanga. Tupo kuwahudumia kupata kanga kutoka Mombasa, Oman na Zanzibar.

📍Tupo Savei – Kontena Jekundu, 6 Tupendane Street karibu na Mlimani City, Dar es Salaam.

📞0715131972

🚚 Tunafanya delivery ndani na nje ya Dar es Salaam (Mteja analipia).

Wateja wa Mikoani mizigo italipiwa na usafiri pia ndio mzigo utatumwa.

⏰ Muda wa kazi: Jumatatu–Jumamosi | Saa 3:00 Asubuhi – 12:00 Jioni

📞 Simu ya Dukani: 0620 131 972

Address

Savei Mlalakuwa
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00

Telephone

+255715131972

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kangaweartz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share