01/11/2025
๐จ๐ท Enzo Maresca amethibitisha kuwa Reece James pamoja na Romeo Lavia watahusika kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Morecambe.
Wachezaji wafuatao watakosekana.
๐น Wesley Fofana , Benoit Badiashile na Dewsbury Hall wanauguza majeraha.
๐น Mykhailo Mudryk amefungiwa kwa muda kupisha uchunguzi.
๐นBen Chilwell na Cesare Casadei wanajiandaa kuondoka hivyo hawatokuwepo.
๐น Aaron Anselmino atakosekana kwani hajawa fiti .
๐ณ๐ผ๐น๐น๐ผ๐ ๐บ๐ฒ ๐ฝ๐น๐ ๐ณ๐ผ๐ฟ ๐บ๐ผ๐ฟ๐ฒ ๐ฎ๐ฝ๐ฑ๐ฎ๐๐ฒ๐
@๐๐ถ๐๐ฎ๐ต๐ธ๐ฒ