23/09/2025
Mchezaji wa ousmane dembele ameshinda tuzo ya mchezaji Bora wa kiume kwa mwaka 2025
Hii ikiwa ni kwa mara ya kwanza kichaguliwa kuwemo kwenye list ya wanao wania na akafanikiwa kushinda
Dembele alimshinda kinda wa lammine yamal aliyeshika nafasi ya pili kunako tuzo hizo