27/07/2023
HABARI ZA HIVI SASA
Diana Naliaka yaya anayedaiwa kumuua katibu wa idara ya uchumi samawati kaunti ya Kilifi Rahab Amani Karisa afikishwa mahakani huko Kilifi na atazuiliwa kwa siku 14 na kuruhusu polisi kuendelea na uchunguzi.
Picha kwa hisani