03/01/2023
Kwanza naomba kaa chini
Uongee na mimi
Habari n'lizopewa Mjini sitaki amini
Kweli haya mapenzi yahitaji makini
Kumejaa washenzi ntafanya nini
Kuna mara umechelewa nikakuamini
Ina maana hujaelewa umefanya nini
Uaminifu uko wapi
Hamna mkamilifu hilo la wapi
(Chorus )
Upo wapi Habibti naomba nijue
Upo wapi Habibti naomba nijue
Upo wapi Habibti naomba nijue
Upo wapi Habibti naomba nijue
Naomba nikuulize una wazazi wangapi
Hivi sasa nipo kwenu hivi upo wapi
Mapenzi yako ya kutoka
Ipo siku ntakuchoka
Kumbuka tulipotoka ya kukata na shoka
Akilini unanitoka haki mimi ninachoka
Unasema unatoka kumbe baibe unatoroka
Mapenzi ya dhati
Sikuhizi sipati (Γ2)
#2023