Bambi Outfits & Accesories

Bambi Outfits & Accesories Tunauza nguo, viatu na accesories za wanawake pamoja na wanaume. Karibuni sana.

Day 3   Special Edition ❤️Congratulations  you're our lucky winner today.   Rogathe is selected because she was  one amo...
26/12/2020

Day 3 Special Edition ❤️

Congratulations you're our lucky winner today. Rogathe is selected because she was one among the most supporting customers this year and we appreciate her.
Thank you so much for your endless support, Bambi store inatambua mchango wako.

Please DM us with your mobile server name ili tuweze kukupatia airtime token yako.

Merry Christmas & Happy Holidays 🎈

Tunafahamu kwamba Msimu wa sikukuu ni msimu wa kukuleta wewe pamoja na ndugu,jamaa na marafiki zako na k**a  tungependa ...
21/12/2020

Tunafahamu kwamba Msimu wa sikukuu ni msimu wa kukuleta wewe pamoja na ndugu,jamaa na marafiki zako na k**a tungependa kuhakikisha kwamba hauwasahau ndugu au rafiki zako katika msimu huu na kukuzawadia wewe vocha katika siku hizi 12 za k**a sehemu ya kukushukuru wewe kwa kuendelea kutu-support na kuwa nasi katika safari yetu ya mafanikio.

Bambi Store tunasema Asante sana❤️

(Usisahau kumuandikia Secret Santa wako zawadi ambayo ungeipenda msimu huu.)

Leo tupo na watumiaji wa

Nani kaiwahi?



♥️

Tunafahamu kwamba Msimu wa sikukuu ni msimu wa kukuleta wewe pamoja na ndugu,jamaa na marafiki zako na k**a  tungependa ...
20/12/2020

Tunafahamu kwamba Msimu wa sikukuu ni msimu wa kukuleta wewe pamoja na ndugu,jamaa na marafiki zako na k**a tungependa kuhakikisha kwamba hauwasahau ndugu au rafiki zako katika msimu huu na kukuzawadia wewe vocha katika siku hizi 12 za k**a sehemu ya kukushukuru wewe kwa kuendelea kutu-support na kuwa nasi katika safari yetu ya mafanikio.

Bambi Store tunasema Asante sana❤️

Leo tupo na watumiaji wa
Nani kaiwahi?




♥️

You know during the holidays when people receive gifts from their loved ones but you don't? I can totally relate. Bringi...
20/12/2020

You know during the holidays when people receive gifts from their loved ones but you don't? I can totally relate. Bringing to you a safe space created for you to get what you wanted this holiday from a total stranger a.k.a "Secret Santa" So unachotakiwa kufanya ni
1. ku-comment Jina Lako, Mahali ulipo(mkoa) na kitu ambacho ungependa uzawadiwe this holiday.(it can be anything from airtime, maybe a service ,a freebie from an account here on Instagram) See my example mwishoni kabisa.
2.Be generous enough to pass through the comments and be someone's Santa. (As the saying goes there's a blessing in giving than in receiving) and remember holidays are more about giving.
3. Come back here na utuambie k**a Secret Santa wako alikuzawadia ulichohitaji.

NB: kwenye namba 1 tafadhali tuchague vitu ambavyo mtu anaweza kuviafford (don't come here talking about $1Million sis mee too😭) but seriously request something that won't break someone's account.

I'll start,
My name is Mambi, I live in Arusha, and this holiday season I would like an Orange cake from .

As simple as that, bless someone's Holidays. Share with your friends and family wajizawadie msimu huu wa sikukuu.

Zoezi hili litahitimishwa 31/12/2020. Saa kumi jioni.

Lastly please remember, "Kutoa ni moyo si utajiri"
Put a Smile on someone this Holiday.








♥️

Besties who wear shades together, stay together.These beautiful ladies look super stunning ❤️Asanteni for shopping at ou...
20/12/2020

Besties who wear shades together, stay together.

These beautiful ladies look super stunning ❤️

Asanteni for shopping at our store🤗

I'm super excited to finally announce that 12 Days of Christmas start tomorrow! I cannot wait.Turn on your post notifica...
19/12/2020

I'm super excited to finally announce that 12 Days of Christmas start tomorrow!
I cannot wait.
Turn on your post notifications!!!

06/12/2020

Don't forget to wear a smile, You have no option remember?😊

Have a Great Sunday.

  was feeling some typa way after he got our shades😂.  Swipe ⏩to see his actual reaction 😂🏃🏃Thank you Erick for shopping...
05/12/2020

was feeling some typa way after he got our shades😂. Swipe ⏩to see his actual reaction 😂🏃🏃

Thank you Erick for shopping at our store. Karibu Tena.

The Dark Unisex shades are available for 10,000 Tshs.

'tis the season!!12 Days of Christmas!!Coming up soon ☺️.
05/12/2020

'tis the season!!

12 Days of Christmas!!
Coming up soon ☺️.

Stick around we have great stuff coming just for you!!!             💸 ♥️
29/11/2020

Stick around we have great stuff coming just for you!!!











💸
♥️

Size 38/39Price 20,000Mwenye kukiwahi akiwahi jamani ni kizuriii balaa🙌
27/10/2020

Size 38/39
Price 20,000

Mwenye kukiwahi akiwahi jamani ni kizuriii balaa🙌

Address

Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bambi Outfits & Accesories posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Bambi Outfits & Accesories:

Share