Kokoye collection

Kokoye collection Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kokoye collection, Clothing (Brand), Arusha.

😍BOY PANTS ZIMEFIKA😍🥰GRADE A550,000/= KWA 450,000/=UJAZO 45 KG100 PCs KUENDELEA!!!
20/02/2026

😍BOY PANTS ZIMEFIKA😍🥰
GRADE A550,000/= KWA 450,000/=
UJAZO 45 KG
100 PCs KUENDELEA!!!

Nilitamani sana kutumia siku ya Valentine kugawa zawadi kwa wateja wangu  wa rejareja kwa kuwafuata na kuwasuprise lakin...
18/02/2026

Nilitamani sana kutumia siku ya Valentine kugawa zawadi kwa wateja wangu wa rejareja kwa kuwafuata na kuwasuprise lakini kwabahati mbaya nilijikuta nimezidiwa na kazi dukani pekeyangu..Kila mtu alikua mgonjwa kasoro mimi .
Niombe radhi sana kwa ambao niliwapigia simu kujua mkowapi lakini nikashindwa kuwafikia.
Bado zawadi zenu zipo dukani mnaweza kupitia mda wowote.
Lakini pia tuna mzigo mpya wa makoti ya Office Ijazo wote
Kg 100 -ni 650,000/= ambayo utapata makoti 200 mazuri!!
Kg 45 Grase A ni 380,000= utapata makoti 80 kuendelea..
Kg 35 Cream isiyo na ronya 380,000/= 70 PCs
Scroll kuona Sample!!!
REJAREJA KARIBU DUKABI KOTI K**A YANGU NILIYOVAA NI 18,000/= TU
WAGENI 0717600539
DELIVERY IPO MIKOA YOTE

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kokoye collection posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share