Simu Sokoni

Simu Sokoni Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Simu Sokoni, Dar es salaam, Oysterbay, Arusha.

Pata simu mpya na zilizotumika zenye ubora, pamoja na accessories mbalimbali kama vile cover, screen protector, charger, power bank, earphones, smart watch, speaker, na bidhaa nyingine za simu.

https://simusokoni.com #+255 625 187 455

09/08/2026
KIBOKO YA CHANGAMOTO ZA BIASHARA YAKO YUPO HAPA!Anatatua matatizo yafuatayo:1. Unapata wateja wachache?2. Wateja hawarud...
20/07/2026

KIBOKO YA CHANGAMOTO ZA BIASHARA YAKO YUPO HAPA!

Anatatua matatizo yafuatayo:

1. Unapata wateja wachache?
2. Wateja hawarudi kwenye biashara yako / kununua?
3. Unashindwa kuwafuatilia / kuwarudisha wateja wako wa zamani?
4. Unashindwa kuwafikishia wateja taarifa muhimu, ofa au bidhaa mpya kwa wakati?
5. unashindwa kutangaza bidhaa mpya au unatangaza kwa shida
6. Unashindwa kutunza mawasiliano ya wateja wako sehemu moja
7 Unakosa ripoti sahihi za mauzo / stock / usimamizi na maendeleo ya biashara yako?

Business Suite Max ndiyo suluhisho lako pekee hii ni App, ni rahisi kutumia na inatatua changamoto zote zilizotajwa hapo juu, haihitaji ujuzi wa Kiingereza, ni nzuri kwa biashara zote dukani au hata unayefanyia biashara nyumbani.

Business Suite Max inapatikana kwa bei poa ya kitanzania / faida lukuki hakuna hofu tena zama za digitali kwanini uteseke?

πŸ“ž Wasiliana nasi leo
**Digital Finix Team**
πŸ“± Call / WhatsApp: +255 625 187 455
🌐 Website: https://www.digitalfinix.co.tz

JINSI YA KUPATA PESA x100 MTANDAONIWatu hawakai sehemu moja tena β€” wako kwenye simu zao kila muda. Kutoka mikoa tofauti ...
09/04/2026

JINSI YA KUPATA PESA x100 MTANDAONI
Watu hawakai sehemu moja tena β€” wako kwenye simu zao kila muda. Kutoka mikoa tofauti ya Tanzania, wateja wanatafuta huduma na bidhaa mtandaoni.

πŸ‘‰ Ukiwa na social media page pamoja na website biashara yako inafika ila mahali:

Biashara yako inaonekana muda wote (saa 24/7)
Unawafikia wateja kutoka Dar es Salaam, Arusha, Mwanza hadi vijijini
Unajenga uaminifu (trust) kwa wateja wapya
Unarahisisha mauzo na mawasiliano

Mwisho unapata pesa zaidi ukilinganisha na kufanya biashara eneo moja nje ya mtandao.
ukitaka kujua mtandao unatengeneza vipi pesa angalia amazon.com au alibaba.com

Angalia Live demo https://digitalfinix.co.tz/space/estore/

Unahitaji ushauri / unahitaji website / app kwa bei nafuu

Piga / whatsapp +255 625187455
website : https://digitalfinix.co.tz

Kwa Nini Website ni Muhimu kwa Biashara Yako?πŸ”Ž Wateja wanakuona kwenye Google unaongeza sokoπŸ›’ Unaweza kuuza bidhaa zako ...
09/04/2026

Kwa Nini Website ni Muhimu kwa Biashara Yako?

πŸ”Ž Wateja wanakuona kwenye Google unaongeza soko
πŸ›’ Unaweza kuuza bidhaa zako online masaa 24
πŸ’¬ Unarahisisha mawasiliano (WhatsApp, forms, n.k.)
πŸ“Š Unapata wateja wengi kutoka sehemu mbalimbali mfano alibaba.com au amazon.com inapata wateja kutoka kila sehemu duniani na wewe pia unaweza kupata wateja kutoka mikoa mbalimbali Tanzania na nchi jirani

Kwenye biashara website ni kiungo kinachowaunganisha wateja na biashara yako, biashara yako inakuwa online usiku na mchana

website imegawanyika pande mbili upande wa mbele upande wa wateja ambapo wanaona bidhaa au huduma upande wa nyuma ni wa wewe mwenye biashara na ndio unautumia kupost au kuweka picha, bei na maelezo ya bidhaa au huduma na unaiendesha kwa kutumia app ya simu

Angalia Live demo https://digitalfinix.co.tz/space/estore/

Kwa maulizo / inquiry

piga / whatsapp +255 625 187 455
website: https://digitalfinix.co.tz

PATA WEBSITE YA BIASHARA KWA BEI NAFUU - DIGITALFINIX!Biashara bila website ni k**a duka lisilo na bango!Weka biashara y...
27/01/2026

PATA WEBSITE YA BIASHARA KWA BEI NAFUU - DIGITALFINIX!

Biashara bila website ni k**a duka lisilo na bango!
Weka biashara yako ONLINE leo.

Hizi hapa ni faida za kuwa na website:
1. Biashara yako iko ONLINE masaa 24/7
2. Wateja wanakupata Google
3. Unaonekana kampuni halisi & professional
4. Unapokea oda hata ukiwa offline
5. Unaongeza uaminifu (TRUST)
6. Unaongeza mauzo bila kuongeza gharama kubwa

Website = Mfanyakazi Wako

Website:
Inauza kwa niaba yako
Inajibu maswali ya wateja
Inapokea oda
Inajenga brand yako
Inakuongezea thamani ya biashara

Tembelea duka letu https://digitalfinix.store

Chagua aina ya website unayotaka lipa advance payment, subiri iwekwe online kwa jina la biashara yako eg www.magarimakali.com , kisha kamilisha malipo yaliyobaki na kisha endelea na biashara

Huku ukipata support na msaada 24 / 7 , pia unakuwa huru kuuliza/ kusaidiwa mpaka utakapo master

Kwa majibu zaidi tembelea https://digitalfinix.store/faq.php

Kwa mawasiliano na manunuzi:
πŸ“© DM / WhatsApp: +255 625187455
🌐Tembelea dukani https://digitalfinix.store

Website sio gharama, ni uwekezaji wa kidijitali

UNATAKA WEBSITE YA BIASHARA YAKO LEO? Kumbuka:Biashara yenye website inawafikia wateja wa karibu na wa mbali kirahisi us...
26/01/2026

UNATAKA WEBSITE YA BIASHARA YAKO LEO?

Kumbuka:
Biashara yenye website inawafikia wateja wa karibu na wa mbali kirahisi usiku na mchana!

DigitalFinix tunauza website za kisasa za kufanyia biashara (online store / Business websites) , tembelea duka letu la mtandao ujichagulie website ya kufanyia biashara online sasa kwa gharama nafuu.

Website zetu zina yafuatayo:
βœ… Mobile App ya mteja
βœ… Mobile App ya kuiendeshea website
βœ… Admin Account
βœ… Inapatikana Google
βœ… Inawezesha kushare kitu kwenye social media zote
βœ… Bei nafuu – quality ya juu
βœ… Business email ya info@
βœ… Free support & mafunzo bure mwaka mzima

πŸ”₯OFFER!!!

Tembelea duka letu la mtandao ,nunua website yako uanze kuuza online leo ( baada ya kulipa advance payment , website yako itawekwa online kwa jina lako la biashara yako mfano www.digitalfinix.store )

Kwa majibu zaidi tembelea https://digitalfinix.store/faq.php

Kwa mawasiliano na manunuzi:
πŸ“© DM / WhatsApp: +255 625187455
🌐Tembelea dukani https://digitalfinix.store

Website sio gharama, ni uwekezaji wa kidijitali

Unahitaji Website ya Biashara au Taasisi?Wasiliana nasi:Call /Whatsapp : +255 625187455Tembelea https://digitalfinix.co....
05/01/2026

Unahitaji Website ya Biashara au Taasisi?

Wasiliana nasi:

Call /Whatsapp : +255 625187455
Tembelea https://digitalfinix.co.tz

Digital Finix inawatakia mwaka mpya uliojaa mafanikio, ukuaji na innovation Build. Secure. Grow.           visit us http...
05/01/2026

Digital Finix inawatakia mwaka mpya uliojaa mafanikio, ukuaji na innovation

Build. Secure. Grow.



visit us https://digitalfinix.co.tz

Address

Dar Es Salaam, Oysterbay
Arusha
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simu Sokoni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share