Thug Truth Business Center

Thug Truth Business Center Dealing: selling Clothes,Shoes,Tattoos drawing,Audio production & Arts.

09/06/2023

Karibu kwenye ukurasa mpya wa THUG TRUTH MUSIC ndan ya audiomack ili kuwa karibu na kupata notification kila zitakapoachiwa ngoma kali fanya KUGUSA LINK APO CHINI NENDA UKA BONYEZE KITUFE KILICHOANDIKWA FOLLOW PIA ITAKUWA MZUKA K**A UKIWASOGEZEA MARAFIKI NA JAMAA LINK NA WAO WAKAFOLLOW SHARE PAGE YETU KWA MARAFIKI ZAKO UTAKUWA UMESAPOTI REAL GOOD HIP HOP MUSIC KUTOKA THUG TRUTH BLESS.
LINK HIYO APO CHINI
👇👇👇👇👇

IT'S ALL ABOUT HIP HOP MOVEMENT CONTINUE Ni hiyo   n   siku ya  tarehe 25 mwezi huu wa sita kutakuwepo na kinyang'anyiro...
09/06/2023

IT'S ALL ABOUT HIP HOP MOVEMENT CONTINUE
Ni hiyo n siku ya tarehe 25 mwezi huu wa sita kutakuwepo na kinyang'anyiro yaani freestyle battle kwenye stage wasanue watu wako usikose njoo na kijiji chako kwani mshindi wa kwanza atapatiwa shilingi laki moja cash na mshindi wa pili atajinyakulia shilingi elfu hamsini cash maeneo ni mbauda maua parma USIKOSE KUSHUHUDIA PAMBANO HILI LIVE LIVE KWA MACHO YAKO BLESS

30/05/2023

Address

Sombetini
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Thug Truth Business Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share