Babie house of fashion

31/05/2026
22000 tu
03/04/2026

22000 tu

karibuni ma boss zangu
12/12/2025

karibuni ma boss zangu

08/02/2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameagiza Mgambo walioenda soko la Samunge Jijini humo na kuwafanyia fujo kisha kuwanyang’anya Wafanyabiashara vitu vyao, wakamatwe ndani ya saa 24 kuanzia wasa kisha wamtaje aliyewatuma kuwaonea Wafanyabiashara na pia Mgambo hao warudishe vitu vyote walivyochukua.

Akiongea na kwa njia ya simu, Makonda ameagiza pia Msimamizi wa soko hilo asimamishwe kazi mara moja na Mamlaka iliyompa kazi na kisha uchunguzi uanze kufanyika ili kubaini kwanini soko hilo haliishi migogoro.

RC Makonda amesema kitendo walichofanya Mgambo hao kimemsikitisha “Hakuna Mfanyabiashara yoyote anayepaswa kuonewa wala kuguswa Arusha awe Mfanyabiashara wa mchicha, nyanya, Dereva wa Bodaboda au Bajaji na wengine wote”

Makonda amesema endapo maagizo yake yasipotekelezwa ndani ya saa 24 Viongozi wote wanaohusika na soko hilo atakula nao sahani moja.

Address

Arusha

Telephone

+255769205526

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Babie house of fashion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Babie house of fashion:

Shortcuts

Share

Category