Ngulelo,oldadai

Ngulelo,oldadai Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ngulelo,oldadai, Design & Fashion, Arusha.

Happy new year wangwana popote mlipo . Umeanza mwaka ukiwa wapi
01/01/2026

Happy new year wangwana popote mlipo . Umeanza mwaka ukiwa wapi

Kila siku tunapoteza vijana nguvu kazi ,but what happened to this guy? Tumepoteza fundi
09/12/2025

Kila siku tunapoteza vijana nguvu kazi ,but what happened to this guy? Tumepoteza fundi

Ngulelo nyumbani , unawakilisha mtaa gani
11/10/2025

Ngulelo nyumbani , unawakilisha mtaa gani

26/09/2024

Ni kijana yupi wa apo mtaani kakanyagwa na basi apo Kilimanjaro stend ?

16/08/2024

Ngulelo center ukiangalia Kwa umbali utapazarau sana ,utakachoona ni old houses na barabara za matope za Atari ,but on the other hand,hi center Ina mzunguka mkubwa sana wa ela , apa inategemewa na watu sasii ,oldadai, bangata , na mitaa za jirani , watu wa huku wengi ni wacha mungu kila jioni utawakuta wanashuka kwenye maombi ,vijana wa uku r so focused, most of them regardless what they r doing ,utaskia amejenga kwake au ana michakato ya kujenga , sio rahisi kupata mdada au mama Ambae hachachariki ,wengi wao wapo kwenye biashara za masokoni wako very busy 👏, ww unajua nn kuhusu ngulelo?

10/07/2024

Good evening everyone, nn maoni yako kuhuc izi matukio ambazo zimekua zikitokea Arusha Mfano ndani ya wiki Moja imetokea ishu ya mtu kufufuka ngulelo,mhusika yy kasema Hana habari na iyo msiba , nyingine juzi watu kazika mwili ambaye sio yao. Hi ni uzembe wa ndugu kutokula makini au ni miujiza yanatokea??

Tumepoteza kijana
07/07/2024

Tumepoteza kijana

01/07/2024

Meanwhile Kule mtaani , ishu za watu kufufuka ngulelo sio geni

Poleni sana Wana ngulelo na bangata Kwa kupoteza kijana ,nilimjua kipindi anaendesha Noah za ngulelo bangata sijui kapat...
01/03/2024

Poleni sana Wana ngulelo na bangata Kwa kupoteza kijana ,nilimjua kipindi anaendesha Noah za ngulelo bangata sijui kapatwa na nn ila mungu amlaze pema

18/08/2023

Kwa wale ambao wamemiss home ,

Nafurahi sana Kuona vijana wanapambana , ikiwa ni miaka miwili tangu tumpoteze kijana wetu dany.vijana waliofata footste...
18/08/2023

Nafurahi sana Kuona vijana wanapambana , ikiwa ni miaka miwili tangu tumpoteze kijana wetu dany.vijana waliofata footstep zake saiv wanapata rizki na maisha inasonga.kazi ya studio imekua ajira Kwa vijana wengi na wanaweza kupata mikate Yao ya kila siku na Kuna vijana pia wamewaajiri .endeleeni kuchapa kazi

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ngulelo,oldadai posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share