Apolo mitumba store

Apolo mitumba store We sale best thrift products in one store, all gender , all age groups! "Let us show you the true meaning of mitumba grade one."

used clothing, handbags, toys, shoes and household items at a reasonable price.We do deliveries in and outside the country.

12/05/2026

Top tshirts, top sweaters, crop tops
Mtumba Grade one
Zipo nzuri mno
📩DM
Whatsap +255 766 904 525

Nightdress mtumba grade one🔥🔥📩DMWhatsap 0766904525
06/05/2026

Nightdress mtumba grade one🔥🔥
📩DM
Whatsap 0766904525

Nguo nzuri za watoto wa kiume mtumba grade oneStock ya sasaSuruali 15000/=-10000/=Kaptula  15000/=-7000/=Tshirts 5000/=-...
20/04/2026

Nguo nzuri za watoto wa kiume mtumba grade one
Stock ya sasa
Suruali 15000/=-10000/=
Kaptula 15000/=-7000/=
Tshirts 5000/=-10000/=
Shirts 10000/=-15000/=
Jezi full 15000/=
📩DM
Whatsap +255 766 904 525

18/04/2026

“This is more than a song… it’s a prayer for my home and for every customer who supports my journey. May your home be blessed 🤍🙏🏽”

17/04/2026

Sio tu mchezo… ni muda wa pamoja 🤍

Hii ni feedback kutoka kwa mteja wetu familia yake wakifurahia karata zetu pamoja. Hapo ndipo tunapopenda kuona bidhaa zetu zikifika: zikileta vicheko, mazungumzo, na bond inayozidi kuwa imara.

Kwa sababu mwisho wa siku, si kushinda au kushindwa… ni nani unacheza naye. ♠️♥️

Skirts zote size small bei 10000/= kwa 15000/=📩DMWhatsap +255 766 904 525Tunahuduma ya delivery popote
16/04/2026

Skirts zote size small bei 10000/= kwa 15000/=
📩DM
Whatsap +255 766 904 525
Tunahuduma ya delivery popote

Umeajiriwa? Unataka kuanza kitu kikingine cha kukuingizia kipato ila unashindwa? Ukweli ni huu—watu wengi hawashindwi kw...
15/04/2026

Umeajiriwa? Unataka kuanza kitu kikingine cha kukuingizia kipato ila unashindwa?

Ukweli ni huu—watu wengi hawashindwi kwa sababu hawana idea… wanashindwa kuanza.

Hizi ndizo sababu 6 zinazokurudisha nyuma (na solution zake):
1. Unaogopa kushindwa
👉 Solution: Anza kidogo sana—kiasi ambacho ukipoteza hakiumizi. Action ndogo huondoa hofu.
2. Unajisikia “upo sawa” kwa sababu ya mshahara
👉 Solution: Jiulize—mshahara wako ukikata leo utaishije? Hii itakupa sababu ya kuanza sasa.
3. Unasema huna muda
👉 Solution: Tumia hata saa 1 kwa siku (usiku au weekend). Consistency ndogo inaleta matokeo makubwa.
4. Unaogopa utaonekana vipi kwa watu
(Status yako kazini, elimu yako, au jamii itakuchukuliaje ukianza kidogo)
👉 Solution: Watu hawalipi bills zako. Anza chini kimya kimya kama inakusaidia, matokeo ndiyo yatakayoongea mwisho.
5. Unasubiri kila kitu kiwe perfect
👉 Solution: Anza kabla hujawa tayari. Utajifunza na kuboresha ukiwa njiani.
6. Unasubiri uwe na kipato kikubwa ndo uanze
👉 Solution: Usisubiri “hela nyingi”—anza na kidogo uliyonayo sasa. Kipato kikubwa kinakuja kwa kuanza, sio kusubiri.

Ukweli? Hakuna muda “perfect”.
Ukisubiri hadi uwe tayari 100%… hutaanza kamwe.

Anza kidogo. Anza sasa.

Comment “START” nikushirikishe idea rahisi unayoweza kuanza nayo hata ukiwa na ajira 👇

Silk scarf za mtumba zenye ubora wa hali ya juu 😍✨Bei ni 5000/= tuuKila moja ni ya kipekee — hakuna design kama yako pop...
14/04/2026

Silk scarf za mtumba zenye ubora wa hali ya juu 😍✨
Bei ni 5000/= tuu
Kila moja ni ya kipekee — hakuna design kama yako popote!
✔️ Laini sana na rafiki kwa ngozi
✔️ Zinadumu muda mrefu bila kupoteza mvuto
✔️ Rahisi kupangilia outfits zako – iwe kichwani, shingoni au kwenye bag
✔️ Zinakupa muonekano wa classy na tofauti kila siku
Chagua uniqueness yako leo 💫
DM +255 766 904 525

25/03/2026

Sale inakaribia kuisha !
Comment nataka kupata ya mwanao

Hivi viatu kwa bei hii? 😍🔥Ni SALE maalum na vipo size moja moja zinaisha FAST!Ukiona design unayoipenda usisite.Comment ...
16/03/2026

Hivi viatu kwa bei hii? 😍🔥
Ni SALE maalum na vipo size moja moja
zinaisha FAST!
Ukiona design unayoipenda usisite.
Comment “SIZE” au tuma DM tukupe maelezo. 👠

Address

Mwanza
Dar Es Salaam
255742670760

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Apolo mitumba store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share