15/07/2026
Dear Cecilia, nakupongeza kufikia siku ya leo unapofunga kumi la tatu,umekua mvumilivu na jasiri katika safari yote tangu ujitambue.
Nyakati zilikua nyingi,huzuni,maumivu na furaha kidogo pote umevuka❤️
Nakupongeza ulipoinuka hata k**a ulihisi kuchoka ila ukasonga mbele,
Kua mama sio kazi nyepesi lakini unaweza tena unaweza kweli kweli😘
Haujafika utakapo lakini hapafanani na ulikotoka hongera kwa hilo,
Dunia ina mengi sana ya kuumiza na kuvunja moyo ila nataka siku zote uwe imara na ushinde uipate furaha,
Dear me,you deserve better keep fighting💪,the rest Mungu atafanya.
Happy birthday Cecilia.