22/06/2022
https://www.facebook.com/100996578507290/posts/445506914056253/?flite=scwspnss
Mambo Doctor Robbyson nipeleke huko kwa wamama,ivi jmn wanaume wa siku izi wakoje🤔 Kuna Sehem nafanya kazi kwenye ofisi fulan ivi Sasa bwana Nina mda mrefu kdogo Sasa Kuna huyo mwanaume alinitogoza nikamkataa huyo bwana ni meneja kwenye sector fln ivi nilivokataa nikajisemea goja niulizie kwa watu k**a Hana mke kweli na tabia zake kwa ujumla😊nikaulizia kumbe bwana ana mke na watoto2 familia yake IPO mkoan yeye yupo kikazi Huku 🙄 looh nilishagaa sana afu nikaambiwa Yan huyo jamaa anapenda madem kweli Yan hapitagwi na sketi🤭 nilishagaa bs siku zikaenda Ivo hakuwa na Namba yang maana nilimnyima sijui alitoa wap Kuna siku akanpgia Namba ngen kupokea kumbe ni yeye nikamuulza unataka nn akasema ujue we mwanamke nakupenda sana mbona unanifanyia Ivo nikamwambia koma unapenda wangap wewe ebu nikaushie bs .nikamkatia sim😏 akatuma sms nilimjibu majibu hayo nahs alienda kulala usingz kwanza😄😂 bs ikawa kimya Ivo mm nikablock Namba zake nikatulia Zang☺️ bas shoga Zang juzi kaja ofsin kwang Sina lile Wala hili nipo Zang naliza mziki wa sim yang Huku najirecod nacheza😄😄 maana sikuwa na kazi ya kufanya🤭😊 mara naona mtu kwa mbali anakuja( mlango ni WA vioo kwaiyo unaona Kila kitu kinachoendlea injee) bs mie nikajikausha k**a sio mm 😜 kafika nikamwambia kalibu nikuhudumie nn akasema apana sijaja kwa Nia ya biashara nimekuja kwako Nina maogezi na ww nikamuulza kuhusu nn ayo maogezi akaaza Sasa unajua ww mwanamke nakupenda sana mbona uko mgum sana tang niaze kutogoza haijawah kutokea mwanamke akanijibu iv mm izi sms nakuwa nazirudia Kila siku kuzisoma zinaniumiza sana ,akatoa sim yake kunionesha izo sms nikamwambia mm sikutaki mbona unanilazimisha ivyo we si una mke wako umekosa nn kwa mkeo Hadi uje kwang naomba uachane na mm kabsa ety ooh mm ni mwanaume naruhusiwa kuoa Ata wake wanne yaaaaan maneno meng wamama khaaa alinichosha nikamwambia k**a umemaliza kuogea ayo mambo yako Toka ofisin kwang et V nakupenda sana naomba unianbock Namba Zang naomba uniambie nikufanyie nn Ili uamini k**a nakupenda naitaj uwe mke wang wa pili niambie chochote naweza kufanya mama ukitaka nikununulie kiwanja nikujegee ndan ya mda mfupi tu au unataka sim gan nikununulie au unataka nn mama niaambie nikupeleke shopping au? Yan wamama adi machozi yanamtoka nikasema ivi huyu kachizika lione kwanza kimoyomoyo lakn😄 ninamcheki tu baada ya hapo kaniagalia kanipandisha kanishusha😂😄 nikasema huyu ananiwazia nn kwanza 🤔 apo nipe bize na sim yang ya Ifinix😂😂 Ata simsikilizi Yan baada ya apo nikamwambia nimekuelewa bs ondoka nilitaka tu atoke ofsn kwang maana amenichosha Sasa bs shoga Zang ndio Ivo anasema hataki s*x k**a simuamini adi akamilishe alivyoniahidi wamama na apo ni Mme wa mwanamke mwezang sa nawezaje Yan nataman nimfaham mke wake jmn apo nifanyaj wapenz wang👋🙏