29/12/2025
Tunahaso jamani bado maisha ni darasa huru huku wengine wameshika kitabu na wengine ingia mtaani humu yamezungumziwa maisha kwa upana wake kikubwa ni kuwa tumeanza kuheshimiana mashabiki twende sasa kulinganisha ladha je ni k**a nani og au feki Nenda kote mitandaoni andika. Size Smiler School of life