16/09/2020
Ushawahi kujiuliza kwanini kila nikitengeneza lotion inakua maji sana au inakua nzito sana au haimoisturize k**a vile mimi nataka?
Matatizo madogo madogo yanayoweza kutokea wakati wa utengenezaji wa lotion yanaweza kutatulika k**a ukifatisha maelekezo ya wataalam na pia kujisomea zaidiš....
Leo ntawajulisha mafuta ambayo ukitumia katika utengenezaji wa lotion yatakuletea matokeo mazuri sanaš„....
1. Sweet almond oil
2. Avocado oil
3. Shea butter
4. Sunflower oil
Haimaanishi mafuta mengine hayafai, hapana ila haya ni most likely kukuletea matokeo mazuri haswa k**a wewe ni beginner ndo unaanza biashara ya kutengeneza lotionāŗ.....
Niwatakie siku njemaā¤