19/05/2026
⚔️ Wanaume wengi hawapungukiwi nguvu za kiume… wanapungukiwa DISCIPLINE.
• Kulala saa 8 usiku
• Mazoezi
• Kupunguza pombe
• Kuacha p**n
• Kula vizuri
Hivi vitu vinaongeza testosterone kuliko dawa nyingi za mtaani.
NGWAMBA SYSTEM ⚔️